Search results

  1. D

    Mke alihama chumba, nimechukua msichana wa kazi, kuna kosa hapo?

    Nawasalimu wote, Tangu mwezi February mwanzoni tumekuwa na mgogoro na mke wangu, mgogoro huu ulitokana na yeye mke kupoteza pesa zake za mkopo kiasi cha tshs million sita katika mazingira ya kutatanisha, akadai mimi ndie nimechukua pesa zake, tulipoitwa kwenye usuluhishi niliona niliona ni...
  2. D

    Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

    Mwezi mmoja uliopita mke wangu alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mimi ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza. Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye...
  3. D

    Almanusura mke wangu anibambikie mtoto wa nje

    Wadau nawasalim, Wadau, Mimi na mke wangu tumekua na mgogoro wa muda mrefu kuhusu nani amfuate mwenzake, maana tunafanya kazi mikoa tofauti, yeye Dar mimi Bukoba, suala la uhamisho lilishindikana, na hivyo ikaonekana suluhu ni wife kuacha kazi anifuate mimi Bukoba, hata hivyo alikataa na...
  4. D

    Mshikaji ameoa kahaba tuliekua tunamnunua wote

    Nimeshtuka kugundua kuwa Rafiki ya wakaribu amefunga ndoa na dada poa mmoja tuliekua tumezoea kumnunua kwa nyakati tofauti, huyu jamaa alikua workmate wangu na tulishibana sana, tulipenda sana kwenda temeke kunywa baada ya kazi baa moja maarufu sana kwa madada poa. Sasa kuna Dada poa mmoja...
Back
Top Bottom