Search results

  1. B

    bikira kweli au yakutengenezwa!!!?

    Mh ni kama gari mwenye new na used wana tofauti gani? unachotaka ni usafiri tu kwangu mie ni tabia na maumbie ndio ya na point ni kama mwenye Mark X na Land Cruser zote ni gari mwenye mpya au used hahahaah kazi mnayo ( mashine ni mashine tu hili mradi ifanye kazi)
  2. B

    Kuosha Vyombo

    Je Kuna kukausha vyombo au vinakaukia kwenye chanja
  3. B

    Prison break vs. 24

    ubaya wa hizi series kama unaproject unafanya usitazame kama ni shule utafall hata kama unaowa unaweza sahau tarehe za vikao vyako ni balaa unatakiwa uwe free na unaweza kesha mpaka asubuhii ndio utafaidi
  4. B

    Moja ya Ndege Kubwa Duniani

    hili dege laweza tua NIA (Dar)
  5. B

    Dakar Rally 2008 - 2011

    Kibunago twashukuru sana kwa habari. Nina swali hile safari rally ilifia wapi na bongo rally gani ni maharufu au inajulikana kimataifa
  6. B

    Mila za wahaya

    Waitu mshanage Waitu Kaitaba ni tusima mno nakabona kavideo kabakisi kalinkaa Waitu okolege
  7. B

    Moja ya stoo za creti kiwanda cha bia (TBL) imeungua moto

    Du hiyo bei mbona ya kifo 10,000 au umetumia hele za zimbabwe dolla
  8. B

    Moto mkubwa katika kituo cha Bamaga

    Ujenzi wetu atuzingatii miundo mbinu ya maji ya zima moto zile gali uwa zina pump tu ya kusukuma maji ya zima moto ni lita 5000 hadi 7000 tu Wanategemea wakute maji kwenye tukio
  9. B

    Mnakumbuka baiskeli za BMX?

    Du menigusa sana menikumbusha ndosi na mbegu za ubuyu, kukusanya nyenyele, na kusafisha choo kwasababu ya namba na chandimu uwanja wa barafu kazi kwelikweli.tumetoka mbali sana bakora 15 mpaka 20 kwa siku na amkomi
  10. B

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Kunanyingine inaitwa TUMAINI RF INSTITUTION (T.R.F.I.) Hii imekaaje jamani?
Back
Top Bottom