Jamani nimeona hapa kuna watu wanajaribu kuonyesha wao ni wataalam wa IT. Mtu akishamiliki laptop akajua kucoonect modem na kupost vitu kwenye mitandao basi naye tayari anajiona ni mtaalam IT. Kuna tofauti kati ya "intranet" na "internet". Hapa watu msijitie kujua, hakuna ulazima wa internet ku...
Jamani mbona unajaribu kumsahihisha wakati wewe mwenyewe haujui haya mambo ya kitaalam!!! Ili mawasiliano ya mwanza na kituo kikuu Da yafanyike inahitajika INTRANET na sio INTERNET. Kuna tofauti kati ya hizo teknolojia mbili. Nawasilusha!
Mara tu Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano ilisisitiza kuwa wageni wanaoruhusiwa kufanya kazi nchini ni wale tu ambao nafasi zao hazina wataalam wa kizalendo wanaoweza kufanya kazi za nafasi hizo.
Cha ajabu kwa kampuni ya mawasiliano ya Halotel (Viettel) sio tu kwamba...
Nashukuru serikali imesikia kilio chetu wafanyakazi wa Halotel !
Tulipoleta mada hapa tulibezwa na wachangiaji kuwa sisi tumetumwa na wapinzani wa halotel. Unaweza kuona kama Managing Director na Legal ambao ni wavietnam wanagoma kuongea na Waziri, je hali ikoje kwa wafanyakazi wa Kitanzania...
Wewe ni great thinker! Katika hali ilivyo sio rahisi msemaji kutoa tamko hilo kirahisi rahisi hivi. Lazima ungepangwa mkakati mkubwa na wenye akili jinsi ya kufikisha ujumbe huu kwa wanachama. Asilimia kubwa mambo ni viceversa na tamko lake !
Minara ya halotel iliyojengwa sehemu mbali mbali nchini inahatarisha usalama wa ndege. Kwa mujibu wa maofisa wa mamlaka ya anga waliofanya ukaguzi ilibainika minara mingi iliyoko katika mikoa mbali mbali imekiuka vigezo vya usalama wa ndege.
Mfano katika eneo la uwanja wa ndege ulioko...
Ninayofahamu kuna vyuo vya kukidhi haja hapa nchini, nendeni mkasome au agizeni hao wataalamu waje kuwafundisha hapa hapa. Gharama ya kuleta mtaalam mmoja au wawili ni nafuu kuliko kubeba lundo la watu kumi hadi ishirini kwenda nje.
Lakini mmeshaambiwa ukiomba kibali uinyeshe umuhimu wa...
Kwa kipindi chote ambacho mmekuwa mkienda taifa na wananchi wamefaidika na nini. Sasa tulieni muone zuoi hilo litakavyoleta tija.
Lakini mmeshaambiwa ukiomba ruhusa wataangalia tija ya safari hiyo kwa umma. Ukiona umezuiliwa basi ujue safari yako haina tija.
Tunashukuru kwa hatua unazochukua dhidi ya waajiri hasa makampuni ya kigeni kutokufuata taratibu na sheria.
Huku halotel kumejaa wageni wengi kutoka vietnam ambao kazi wanazofanya hata darasa la saba anaweza kuzifanya. Unakuta eti expart anasimamia uchimbaji na ufukiaji wa mkongo wa...
Pamoja na ubia wa wa mstaafu huyo, basi halotel (vietel) ingefuata taratibu na sheria za nchi kusingekuwa na nongwa. Lakini cha ajabu kampuni hiyo imevunja karibu kila sheria na taratibu za mamlaka katika nchi hii. Kuanzia tcra, ujenzi, tannesco, tra, na sasa idara ya kazi ambapo imenyanyasa...
Nakubaliana na wewe lakini kufuata sheria na taratibu za ajira kunategemea ugeni wa kuanza biashara! Sisi wafanyakazi hatuna tatizo sana na maslahi,shida kubwa ni unyanyasaji na kutofuata sheria za ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.