Wavietnam wanavyodhalilisha wafanyakazi watanzania katika kampuni ya halotel

mbangule

Member
Nov 29, 2015
23
11
Raia wa vietnam anayefanya kazi halotel nchini tanzania amdhalilisha mfanyakazi wa kitanzania kwa kumuita "nyani"
 

Attachments

  • IMG-20151230-WA0072.jpg
    IMG-20151230-WA0072.jpg
    104.4 KB · Views: 171
Hivi hawa makima/mavietnam huwa wana akili kweli,..?
Maake kila siku nikipishana nao hapo ofcn kwao (tuko jengo moja hapa Morrocco) huwa facial expression zao zinatia shaka kama wana akili timamu.
 
Huku mozambique kuna m Vietnam 1 aliongea mbaya kwa mfanyakazi 1 wa ki mozambique .kama kawaida Yao wamakonde hawakopeshi alimfumua ile mbaya na wala hakuna aliye msaidia na jamaa huyo mozambicano haku fukuzwa kazi ila walisuruhishwa tu
 
Hapa Mwanza wanadhulumu hata wachimba mitaro wa mitambo yao! kila siku wako mahakama ya kazi kujibu mashitaka ya kuwafukuza watumishi pasipo kuzingatia sheria na kanuni za kazi
 
Hivi hawa makima/mavietnam huwa wana akili kweli,..?
Maake kila siku nikipishana nao hapo ofcn kwao (tuko jengo moja hapa Morrocco) huwa facial expression zao zinatia shaka kama wana akili timamu.

Wana akili timamu ndomana wakaja kuwekeza TZ
 
Tulishapata uhuru kwa nini hawa wanatoka huko nje na kuja kutudhalilisha hapa? No tusikubali.wapo pia wahindi wa rhino cement mkoa flani ndio zao! Wenyewe weusi kuliko hata sisi
 
Tuache Kulalamika,Juzi **** natu alisema,wahindi,Mara wasomali,mara wazungu
Sasa kila siku sie ni kulalamika tu kwamba tunadhalilishwa.
Sie wenyewe tunaitana majina ya ajabu na kudhalilishana
Acheni wapige kazi,tuache majungu
 
tatizo wanaingiaga nchini milango ya nyuma,,,wawekezaji lazma wapewe sharia za nchi na kuzifuata,,,tatizo linguine wabongo hatusomi sharia tukaelewa haki zetu kazini,,mtu hulipwi eti mungu atajua,,,halafu inaonyesha hawa wawekezaji wanaambiana coz wote wana tabia moja,,,Jamen tusome haki zetu na sharia zinazohusu kazi na lazma uwe na mkataba wa kazi hata kama ni kibarua,,,,wabongo wote wanaoshirikiana na wawekezaji kuwakandamiza wazawa kwa adadi za nafasi kubwa kubwa na hongo pia jueni mwisho wa ubaya aibu na laana itawamaliza na familia zeni vizazi mpaka cha nane
 
Ukombozi wa watanzania ni watanzania wenyewe sio wavietnam. Hao kwanza ni masikini kama sisi !

ukomboz wa wa kifikra sio kwa wa tz pekee...
baadhi ya wenye ngozi nyeusi bado ustaarabu ni tatizo.

inaskitisha kuona mtz anapelekwa nchi za nje na kutumikishwa kngono knyume cha sheria... bado hapohapo ndani ya nchi bado raia wa nje wana jeuri kuliko mzawa..!

Duh....noma sana
 
Back
Top Bottom