Search results

  1. M

    Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

    Kwani wanawake wasipoolewa wanaume wanapata hasara gani?
  2. M

    Head: Mkopo(unaolipa madeni) rahisi na wa haraka sana

    ndo mnavoibiwa kwa kutokuwa makini katika mambo ya msingi, hapo ni 3.5% kwa mwezi sio kwa mwaka, hiyo riba ukiipiga kwa mwaka ni majanga ,kimbia sana
  3. M

    Ishakua tabu sana...Napenda sana wasichana wembamba

    :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D Aisee umenivunja mbavu we jamaa Ni kweli hiyo ni kawaida ya wenye vitambi kupenda vimbao, sijui ndo wanatafutia balance
  4. M

    Kijana unapoamua kuoa mwanamke mrembo, msomi au binti wa kidijitali basi kubaliana na haya...

    We jamaa hii comment yako inaonesha kwel umeoa wa standard seven leaver halaf wakolomije Kwa akil yako mwanamke wa aina hiyo(msomi, halaf wa kidigital na mrembo) atarud kwao ukimpiga chin, inaonesha dhahir huwafaham vizur hawa ,
  5. M

    Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

    Kila la heri mkuu, we endelea naye tu unachokitafuta si mda mrefu utakipata, ila namuonea sana huruma mke wako N.B NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
  6. M

    Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    A Aisee we jamaa kama tunawaza pamoja mambo yote
  7. M

    Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    Hongera mkuu kwa mawazo yako, kila mtu ana mtazamo wake kuhusu ndoa na maisha kwa ujumla mshauri huyo jamaa afukuze haraka mke wake ili aendelee kuishi kwa amani na mama na dada ake wapendwa mana naona mitazamo yenu inaelekeana
  8. M

    Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    Mkuu yawezekana kabisa huyu jamaa leo anaona anafanikiwa lakini hajui yawezekana pia kuwa ni nyota ya huyo mkewe, baada ya kufanikiwa ndo anaanza dharau na kumtolea maneno humu mara ooh kazalishwa mara mbili na wanaume wawili tofauti , jambo ambal sijui haupo mwanzo alipoamua kumuoa hakuliona...
  9. M

    Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    Kwanza we jamaa unaonekana unadharau na kujiskia sana(baadhi ya maneno makali sana umetumia ambayo hayakuwa na ulazima kuonekan hapa,mara sjui mdogo wang kasoma sayansi, mara kwao masikin sana) Kurud kwenye mada, kumsaidia mama n muhimu sana lakin Si lazima akae hapo nyumban, ila kama umemchoka...
  10. M

    Umejifunza nini kwa tukio la Arusha la fumanizi

    DHAMBI huzaa DHAMBI na mwishowe huleta mauti.TAMAA imezaa ZINAA na zinaa imezaa UUAJI na mwishowe KIFO UZINZI ni DHAMBI ,hakuna atakayesalia iwe mwanamke au mwanaume, Ni kwel inatia uchungu binadam kuuawa kinyama hivo,lakin yapasa tujifunze kupitia hao wenzetu ACHA ZINAA NI KIFO
  11. M

    Kuchepuka raha

    mkuu nadhan hujawajua vizur wanawake wa siku hizi, hawarudi kwao wanapanga nyumba mtaa wa pili tu na kesho yake unamuona yupo macho makavu anaendelea na maisha kama kawaida,hiyo ya kumrudisha kwao hai apply sana siku hiz N.B NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, DHAMBI HUZAA DHAMBI MWISHO HULETA MAUTI
  12. M

    UWAJIBIKAJI: Albert Msando ajiuzulu nafasi ya Ushauri wa Chama cha ACT-Wazalendo

    heb achen kusifiana ujinga, hapo kweny wanaume badilisha andika wanaume tusiojitambua au wavulana
  13. M

    Inawezekana kina sisi ni early version of human being

    watu watajidai kutoka povu sana hapa, bt huu ndo ukwel ,kwnn kila kitu wawe wao tu wajuvi ?kitecnolojia, kisiasa nk.hao madaktar mnaosema wa kiafrika chanzo n tecnolojia ya mzungu,huyo dangote machine anazotumia n tecniolojia ya mzungu,matecnician wake elim ya mzungu,n.k yan Kna mambo yanaumiza...
  14. M

    Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

    Naskia huwa wanasali usiku wa manane,af nlskia pia kuwa wanaabudu bila kuvaa nguo, Mara y kwanza nlkuw siamin ,bt kwa maswal haya ya wadau naanza kuamin taratib ,itakuw n kwel
  15. M

    Tukio lililo mtoa machozi

    Aisee uandish gan huu ,tena kwa mtu msom kabisa, binafsi hta kufika nusu ya story nmeshindwa
  16. M

    Msaada: Nimjibu nini huyu msafiri mwenzangu?

    Kwanza tuanzie hapa umevaaje?
  17. M

    Wakati unalalamika maisha magumu wenzako ndo muda wa kupiga hela

    Mi nmeipenda shughuli ya kampuni lako aisee,,,Vijana wa "degree" Si rahis kubun kampun la aina hiyo,,hongera sana kwa kuona hyo fursa
  18. M

    Kwanini hakuna uhalisia wa mzunguko wa kiuno cha kina dada?

    Mkuu tatizo unawapata wacheza shoo,,,,Wanaojua kuzungusha kunako 6*6 wala hawazungush ovyo kweny vigodoro na disco
  19. M

    Mwana JF mzuri nimekaa nae siti moja

    Usikrem kla mhasib ana hela,,,inategemea n mhasib w nn na wa wap:)
  20. M

    Tanzia: Naibu Waziri Ramo Makani afiwa na mama mkwe wake

    Thread zingine bwana,,sasa ma mkwe wa naibu wazir kna umuhim gan kifo chake kuletwa hapa
Back
Top Bottom