Search results

  1. T

    Tanzania imetumia zaidi ya bil 5 kununua mitambo ya kuingilia matangazo ya tv, radio na simu

    Naunga mkono uhamuzi huo. Tatizo ni kwamba KITADUMU?
  2. T

    SERIKALI imetoa namba ya simu bure itakayotumika kutoa ripoti ya wahujumu wa sukari,

    Hapa Moshi kaimu Mkuu wa Mkoa aliyesitaafu aliwaita TPC wajieleze kulikoni sukari hakuna madukani.....alishangaa kuambiwa uzalishaji ni kama kawaida na bei ya kiwandani ni shs 72000. Mchezo uko kwa mawakala
  3. T

    SERIKALI imetoa namba ya simu bure itakayotumika kutoa ripoti ya wahujumu wa sukari,

    kijana nadhani huna watoto.Watoto wataenda shule bila kunywa chai asubuhi kwa sababu hakuna umeme? Kijijini tunahitaji sukari sio umeme
  4. T

    Kosa la David Mwakyusa ni nini?

    nakubaliana nawe hapo kwa Mwakwusa lakini Magufuli hukumtendea haki. Magufuli ni mchapa kazi muwazi na mkeli. Ndio aina ya kiongozi anayehitajika TZ sasa hivi
  5. T

    Kosa la David Mwakyusa ni nini?

    nakubaliana nawe hapo kwa Mwakwusa lakini Magufuli hukumtendea haki. Magufuli ni mchapa kazi muwazi na mkeli. Ndio aina ya kiongozi anayehitajika TZ sasa hivi
  6. T

    Naomba yatokee haya Tanzania...

    Yote hayo ya nini? Umeme uzimike katikati ya michezo ya mpira wa miguu. Utasikia kelele zote uzozihitaji
  7. T

    TANESCO kimewaka, jenereta lalipuka Ubungo!

    nchi sio dunia mkuu! Usiku mwema
  8. T

    TANESCO kimewaka, jenereta lalipuka Ubungo!

    kumbe ni nchi nzima basi Hata Moshi Acha nilale
  9. T

    Membe adaiwa kusaidia kampuni ya wanandugu (MEIS) kuchota bilioni 54

    hii movie mbona kali! Nilikuwa sijaisikia
  10. T

    nisaidieni aina ya simu za nokia zinazosapoti 3G

    ninauliza tu. Na 3120classic?
  11. T

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    asiyekubali achana naye mapema. Baadaye atakuwa matatizo
  12. T

    Noti mpya hazina ubora?

    Vilevile coin za shs 100 zimekuwa hadimu sana Mkuu
  13. T

    Mbona wageni wanazidi kuongezeka mjini?

    Inawezekana nae mgeni ndio sababu haelewi
  14. T

    Mbona wageni wanazidi kuongezeka mjini?

    Inawezekana nae mgeni ndio sababu haelewi
  15. T

    Mbona wageni wanazidi kuongezeka mjini?

    Afadhali Wakenya Waganda Wasomali. Nenda kwenye mahoteli ya kihindi wasiokula nyama jioni utashanga idadi ya wahindi wasiojua hata neno moja la kiswahili. Ushauri wangu tuzidi kuwafichua hivyo hivyo wagaramie inderect
  16. T

  17. T

    BBC yaponda tiba ya Loliondo, walinganisha na mauaji ya Albiino

    Ufafanuzi wako ni kweli kabisa. Tulikuwa hata na dini zetu wakaziita za kishezi . Tatizo watafanya mbinu yoyote hata mchezo mchafu kulinda msilayi yao.Tuwe waangalifu
  18. T

    Bosi wa Airtel aingia nchini, akutana na JK na akataa kupigwa picha

    Alipigwa picha lakini ahiuzi gazeti
  19. T

    Dar es Salaam: Giza Kuu!!!

    Sio Dar tu hata Kilimanjaro ulikatika
Back
Top Bottom