Search results

  1. Bongo senior

    Nifanyeje kuepukana na hili?

    Habari za muda huu Mimi ni kijana mwenye umri wa 30+ ni baba wa watoto wawili kila mmoja na mama yake. Kutokana na hali halisi ilivyo kwenye mahusiano watu hawana hofu kabisa kwenye kuumizana mioyo kiasi kibaya sana, ila kwangu ni tofauti sana ni muoga sana kumuumiza mtu hata nikifanya...
  2. Bongo senior

    Mwenye ufahamu wa tatizo hili.

    Habari za muda huu pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto ya kila aina. Naomba niwasilishe ombi la msaada kwa kila mwenye uelewa nalo, iko hivi nina ndugu yangu alipata ajari ya pikipiki huko vijijini mguu ukavunjika lakini mfupa haikuachana kabisa ulibaki upande umeshikana na upande imeachana...
  3. Bongo senior

    Je, kuna cha kujifunza kwa huyu au ni uboya tu?

    Hope mko poa, Naomba niende kwenye mada na niombe radhi kwa uandishi. Mwezi uloisha yani July nilienda kikazi moro. Na hapo kuna kaka zangu wa damu ingawa sikupenda kufikia kwao, badala yakufika nikamaliza kazi kwa muda wa wiki tu though nilitakiwa nifanye mwezi mzima, muda ulobaki nikatumia...
Back
Top Bottom