Search results

  1. architect astely

    Nahitaji mchango wa mawazo

    Habari yenu wadau wa jamii forum..i hope kila mmoja anaendelea vizuri katika harakati zake za kila siku za kusaka mafanikio.Kuna jambo naomba kuuliza kwa yeyote ambaye atakuwa na mchango wa mawazo ntashukuru sana. Kuna biashara nafikiria kufanya, nataka nianze kununua miogo mikavu kutoka kwa...
  2. architect astely

    Huu ujambazi unaoendelea mwisho utakuwa ugaidi

    Ndugu wanajamii forum,nimechukua mda kutafakari haya matukio ya ujambazi yanayoendelea kutokea hapa nchini kwetu,tukiyachunguza kwa idadi ni matukio mengi ndani ya mda mfupi na raia kadhaa washapoteza maisha.Napenda nitoe rai kwa serikali na vyombo vya usalama vya nchi yetu kwamba kwa sasa...
  3. architect astely

    Alikiba anajua muziki zaidi ya Diamond

    Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka kipindi walichoanza kujulikana kimuziki nikaja gundua kuwa Alikiba anakipaji na anajua mziki zaidi ya...
  4. architect astely

    Hivi wanaolaumu vitendo vinavyofanywa na Rais Magufuli wako sawa kweli?

    Kuna baadhi ya watanzania ambao wanalaumu vitendo vinavyofanywa kwa sasa na muheshimiwa raisi wa awamu ya tano JohnPombe Magufuli pamoja na Waziri mkuu muheshimiwa Majaliwa, kwamba wanakiuka utaratibu wa uongozi unaofuata kanuni na sheria. Hivi tukiangalia matatizo yanayoikumba Tanzania na...
Back
Top Bottom