Uislamu haujatufundisha kuazimisha vifo ndg hoja yako dhwaifu na huenda uislam haujaufaham ww ingia darasan usome vizur uone uislam una hitaji nn ss tumeachiwa vitu viwili tu na mtume wetu kitabu cha Allah na Sunnah za mtume na wala cyo cuf wala ccm
Ndani yake kuna ukweli na uongo ama uongo ni pale mwandishi alivyo anza kuxema waislam cjui wana lalamika mwandishi unatakiwa kujua kuwa waislam hwategemei nguvu ya magufuri ktk maisha bali Allah peke yake ndo anategemewa kwa hivo acha kutaka kutafuta umaarufu kwa njia ya kidin na cku zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.