Search results

  1. kokunana1982

    Maalum kwa wanawake: Je, ni fahari kutumia jina la mumeo?

    Na huo ndiyo ukweli kama huna hela jaribu kumwambia mwanamke atumie jina lako kitakachofata utakuja kutuambi, tena raha mwanamke awe muajiriwa alafu ww mfuga kuku flan cku hiz mjasiliamali? Sasa mwambie aende kazin kwake eti abadili ukoo wake kama ajachukua mtaji wake wa kuku aliwokukopea na doa...
  2. kokunana1982

    Maalum kwa wanawake: Je, ni fahari kutumia jina la mumeo?

    Wanawake ndiyo upenda kutumia majina ya mumewe na hii ni ktk aina mbili tu, mwanaume awe na hela au cheo fulan bila hivyo sahau mwanamke kutumia ukoo wako?
  3. kokunana1982

    Nimeamua kuachana rasmi na Vodacom

    kwa voda ukitaka huduma poa nenda pale tandika, kuna braza flan yank ni muelewa sana,, voda hata wa mliman pale kuna wahudum wapumbav sana?
  4. kokunana1982

    Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

    ilianza HSC, sasa uda tena bado kdg utaskia na mariedo imefilisika chezea magu ww? Watu wanaingia mitin wenyewe!
  5. kokunana1982

    Nanunua bati na mbao,isiwe bei ya dukani

    itakuwa kuna mafund wamekuliza sasa unatafuta ukweli, Labda utafanikiwa?
  6. kokunana1982

    Kwa vijana mliooa wanawake wenye watoto, mnadhani simba ni katili kuua cubs ili amiliki pride?

    Ni ukweli lkn pindi unapofanya na huku umeshanogewa ni ngumu kufikir hayo yatakayotokea mbele, alishawishiwa Adam sembuse sisi?
  7. kokunana1982

    Kupenda kunaniponza

    Haya wangu umeanza kiherehere cha kukupenda cjuh nitaambulia maumiv?
  8. kokunana1982

    Kupenda kunaniponza

    Hakuna cha ya kwanza wala ya mwisho kila maumiv yanauma zaid ya ujuavyo ww omba yakupitie mbali kwa maana mmh ni ngumu kumeza.
  9. kokunana1982

    Kupenda kunaniponza

    Pole mummy wanaume ndivyo tulivyo mtuvumilie tu kwa maana tunapopendwa sana huwa tunaona kero, ila kule tulipopangwa folen ndipo tumeganda haswa.
  10. kokunana1982

    Biashara zinazotumia mfumo wa "Network Marketing" na Ulaghai uliofichwa ndani yake

    Tena kama hao forever living ni wez watupu. Huwa cpend hata kuona jina lao waongo zaid ya dr mwaka.
  11. kokunana1982

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    kuoa kuskie tu si kirahis kiivyo?
  12. kokunana1982

    Rasmi: Nahamisha makazi Dom naelekea Arusha

    Angalizo kama umezoea frem za laki na laki na nusu huko dodoma, huku ni kuanzia laki tatu kwenda juu! Ila krb machinga wanajengewa shm maalum.
  13. kokunana1982

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    Alipata GPA 4.5,
  14. kokunana1982

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    amekwambia yeye kinyoz? Au unafikir ni rahis kiivyo?
  15. kokunana1982

    Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    tafuta wenzako ili nawe ujiune live!
  16. kokunana1982

    Amani A. Karume ni mboni, ikiguswa CCM 'itafutika' Zanzibar

    Na hapo wote ni wanyamwezi.
  17. kokunana1982

    Mnakera sana mabinti mnaolazimisha ndoa

    nan akulazimishe kuolewa na ww hata gar huna?
  18. kokunana1982

    Hivi hata kuchat na mwanamke siku hizi ni mpaka utoe takrima?

    mbona huwa unawapa? Na wanajisif kitaa kinomaaaa.
  19. kokunana1982

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    njoo pm na elf kumi na tano tu nikuelekeze dawa ni kiboko ya vipele? Nam nilielekezwa kwa bei hiyo sina kipele hata na nilikuwa navyo kibao!
Back
Top Bottom