Search results

  1. K

    Hatua za ujenzi wa nyumba

    Madini ya stages nimeyakubali upo vizuri mzee, naongezea kidogo kuwa ni vyema pia kufanya reseach kidogo unapokuwa kwenye ujenzi ukiona nyumba za wenzio zinavutia may be design au materials zilizotumika unapata new ideas sio unajenga kwa mawazo yako tu baada ya muda kidogo nyumba yako inakuwa...
  2. K

    Diamond Platnumz aburuzwa Mahakama ya watoto na Hamisa Mobetto!

    Huyu dada anaharibu future ya mwanae, in no way hii inaweza mtikisa diamond hasa kwa kuwa sheria imeweka kiasi kidogo cha pesa anachopaswa kutoa mzazi kwa malezi kwa mwezi...embu jiulize huyu dada anawezaje kufungua kesi kwa eti kutopewa matunzo kwa miezi miwili..??
  3. K

    Yutong/zongtong/Higer and scania buses

    Kwa kawaida wafanyabishara wanaangalia mizania ya faida kabla ya izo mambo zingine ndo maana utaona baadhi ya magari yanaondoka yenyewe barabarani bila kufukuzwa, kwa mfano unaona ujio wa mitsubish fuso canter inakuja used kutoka japan inavuliwa bodi inajengwa bodi ya tandam inabeba tani hadi 12...
  4. K

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa maoni yangu kwa sasa nairobi iko mbele kimiundombinu kuliko dar but naona as compaired to 15 years back dar imeendelea kwa kasi kubwa kuliko kasi ya development ya Nairobi nadhani kama uchumi wetu ungeendelea na kasi iliyokuwepo kwa miaka 8 nyuma basi yumkini baada ya miaka 10+ dar ingweza...
  5. K

    Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    D,@fe,e3 w*_3''4435?',,:6
  6. K

    Visomo hivi si dalili njema sana

    Bwn mshana nakubaliana na wewe kuna somo kubwa hapo
  7. K

    Spika Ndugai: Lissu alishambuliwa kwa risasi 28-32 lakini zilimpata tano, awataka wabunge kuchangia nusu ya posho zao

    Kila ninapotafakari tukio hili nakumbuka tukio la nape kwa hakika ile Tanzania ya nyerere imetutoka sasa tunaelekea tanzania ya rwanda Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Alivuma sana miaka 90, RIP Mkama sharp.

    Hivi sasa kizazi cha askari wa aina ile sjui kimepotelea wapi
  9. K

    Alivuma sana miaka 90, RIP Mkama sharp.

    Daah..rip mkama sharp..yaani umenikumbusha fatic za kuingia mpirani pale karume na waruka ukuta...mkama alikuwa anaweza kudhibiti foleni za milango yote miwili ya mbele kisha anabastola mbili kushoto na kulia alafu anatembea kibabe sana daah kweli wakati ukuta
  10. K

    Gari kunguruma sana

    Mkuu kama unaskia mlio kama mluzi ukiwa kwenye rpm kubwa possibly ni fan belts au waterpump imeanza kuchoka but kama in mngurumo unaotokana na engine cheki mounting hasa bolts za upande wa kulia upande wa chini..but kama mngurumo unatokana na vibration ya bodi na usukani unayumba cheki wheel...
  11. K

    RAV4 kukata mafuta njiani, nini tatizo

    Hiyo kilitime yako inatumia engine gani maana kuna zenye 1990cc ambazo no d4 engine na zingine 1800cc ambazo zina 1ZZ engine...but matatizo hayo ni common kwa d4 engines hasa plug zake zikichoka
  12. K

    Msaada wa engine ya Nadia D-4

    Kaka pole sana...mi pia mwaka 2009 niliagiza premio iliyokuwa na d4_engine kiukweli baada ya muda ilinisumbua sana nakumbuka nilinyeshewa mvua pale mataa ya changombe sitasahau...but fundi wangu alinishauri nikanunua 3s-fe engine pale shauri moyo pamoja na control box ingine goma likarudi...
  13. K

    Wadau mwendo gani mzuri safarini nisitumie mafuta mengi

    Samahani kama nitakukosea muuliza swali maana naona umeweka concern kwenye mafuta tu..ilhali mwendo pia unaweza kuharibu gari lako mfano ukatembea na 50kph kwa zaidi ya saa nzima ujue gari yako itakua haivuki gear no.3 matokeo yake gearbox itakuwa inaumia sana...kwa maoni yangu speed yako...
  14. K

    Meagiza toyota premio 2003 baadala ya brevis

    Kupandisha kwa spacer kukifanyika kwa kuzingatia utaalamu hakuathiri gani but ukifanya kienyeji gari inakosa alignment na balance na Mara nyingine inapoteza shoo..Mara nyingi kutegemea na gari na aina ya maungio ya miguu kwenye bodi..mfano gari zenye wish bone ukiziinua sana tairi zina bend...
  15. K

    Gari gani zuri ya kutembelea isiyozidi Mil 12?

    Kimsingi kwa bajeti ya 12m ni vyema uzingatie maoni ya wadau hapo juu Ku opt ordinary saloons na micro hatch backs..la sivyo kama mzuka wako ni hizo SUV yaani rav 4 en the like bas uwe tayari kununua ambazo ni used in tanzania
  16. K

    Meagiza toyota premio 2003 baadala ya brevis

    Tairi umeweka stroke ngapi..maana inabidi uweke high profile 45 ,50 au 55 Ila pia chek shockup kama ziko poa
  17. K

    Napendwa kuelimishwa juu ya hili gari la CARINA TI

    Carina ti thamani ya pesa zako..hutajuta
  18. K

    Gari yangu imekuwa nzito

    Yako mambo yafuatayo yanaweza kusababisha tatizo hilo .1. Kama plag hazichomi vizuri..2. Kama pump ya mafuta imechoka..3..kama chujio la mafuta limechafuka 4..kama air cleaner imechoka..5..kama breki zimejam..6 kama transmission fluid imepungua sana au imechoka..7 kama vyote nilivyolist apo juu...
  19. K

    Kati ya carina TI na swiff nichukue ipi??

    Carina ti ndo bab kubwa...injini imara 5A FE ..mafuta kidogo..bodi ngumu..brek sistem ya uhakika..mwendo mzuri...uki I pimpy inakubali sanaaa...Ila tu fasheni yake inapita sasa maana model ya mwisho ni ya mwaka 2001 so uamuzi unao wewe
  20. K

    Meagiza toyota premio 2003 baadala ya brevis

    Hongera mkuu kwa premio umelamba dume in terms of fuel consumption na service costs. Baadhi ya vitu muhimu unapaswa kufanya service kwa wakati yaani 3000kms but muhimu zaidi utumie oil sahihi...japo zipo oil nyingi but to me mogas no oil nzuri ...si vibaya ukaiinua kidogo ili isichakae mapema...
Back
Top Bottom