Search results

  1. B

    Reporter wa itv-mara

    Kwa muda mrefu sasa nimekua nikishangaa huyu reporter wa ITV mkoani Mara akiripoti habari za mkuu wa mkoa tu kana kwamba ni msemaji wa huyu mheshimiwa. Niliposhangaa sana nikajishangaa, kwanini nashangaa wakati hata mabosi wake wa hapo mikocheni wameona ni sawa tu! Kama na leo Hili litajirudia...
  2. B

    Wapi naweza kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu?

    Heshima kwenu wana jamvi, Nahitaji kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu kwa ajili ya kuwekea bidhaa za wateja wanaponunua vitu dukani kwangu. Naomba mnisaidie mawasiliano au sehemu ambayo naweza kupata huduma hii. Natanguliza shukrani.
  3. B

    Msaada kuhusu ukadiriaji wa kodi ya mapato

    Heshima kwenu wakuu, Kwanza ningependa kukiri kwamba Mimi ni Mgeni sana humu jamiiforum lakini nawaheshimu sana wadau na naamini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu. Mimi ni mfanyabiashara Mdogo na nina frame ya biashara katika moja ya miji ya tz. Wakati naanza biashara nilifata...
Back
Top Bottom