Search results

  1. Mwalimu Mkuu

    TANZIA: Isaac Mwimba Diwani wa Peramiho (CCM) afariki kwenye ajali

    Kuwania udiwani Tanzania inabidi kujiuliza mara mbilimbili
  2. Mwalimu Mkuu

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Alichotakiwa kusema in public ni kuwa Kakobe alisema ana pesa kuliko serikali, uchunguzi umeonesha kuwa hana akaunti yeyote Tanzania. Yeye ni signatory katika akaunti ya Kanisa full stop. Kanisa ni taasisi inayojitegemea.
  3. Mwalimu Mkuu

    Benki Kuu (BoT) yazifutia leseni benki kadhaa. Zimo Efatha Bank na Covenant Bank

    Hivi hii Covenant Bank of Women ndio TWB I mean Tanzania Women Bank?
  4. Mwalimu Mkuu

    Matumizi ya neno Cc

    cc@mwalimu mkuu
  5. Mwalimu Mkuu

    Aliyekuwa Padre Kanisa Katoliki, Privatus Karugendo afunga ndoa!

    Well, Watu Wengi wanaamini kuwa Martin Luther ndiye mwasisi wa Kanisa la Lutheran. Ukweli Ni kuwa falsafa yake ndiyo ilienea na kujikuta kanisa jipya limeanzishwa tena baada ya kifo chake. Yeye lengo lake lilikuwa kufanya matengenezo katika kabisa catolic ambapo matengenezo hayo hayakukubalika...
  6. Mwalimu Mkuu

    Aliyekuwa Padre Kanisa Katoliki, Privatus Karugendo afunga ndoa!

    Luther yupi? Kama unamaanisha Martin Luther kasome historia vizuri. Luther hakuanzisha kanisa ila baada ya kifo chake wafuasi ndio waliasi na kujiita walutherians
  7. Mwalimu Mkuu

    TCRA kwanini hamuwachukulii Tigo hatua?

    TCRA hawawezi kuwachukulia Tigo hatua kama hamjawaripoti. Unapopata shida ya kimtandao peleka malalamiko yako kwa mtandao husika. Kama hawajakutekelezea shida yako. Waandikie barua ya nia ya kufungua shauri la Madai tcra. Peleka barua mbili ambapo watazigonga muhuri kupokea. Moja watakurudishia...
  8. Mwalimu Mkuu

    Uhuru wa kujieleza - Double standard.

    Basi kwa nini wasitumie hoja na majukwaa yao kusaidia jamii. Gwajima kupitia jukwaa la dini aeleze madhara yatokanayo na vitendo hivyo bila kutishia Watu wasimtaje. Kwa nini hataki atajwe? Diamond naye atumie sanaa yake kufikisha ujumbe kwa jamii jinsi migogoro inavyoweza kuwa hatari hasa...
  9. Mwalimu Mkuu

    Uhuru wa kujieleza - Double standard.

    Hiyo ndiyo sanaa yenyewe. Yeye amekaa kimya ila anaelezea jinsi wanavyomsumbua Watu kuwa aseme. Aseme juu ya nini ? Yanayotokea katika jamii. Sanaa Ni ubunifu na lazima tujifunze kuappreciate (nimekosa neno sahihi la kiswahili) kazi za kisanii. Kuna msanii kule Kenya aliamua yeye asiwe na jina...
  10. Mwalimu Mkuu

    Uhuru wa kujieleza - Double standard.

    Heshima kwenu Wakuu! Nimejaribu kusikiliza wimbo wa Diamond mara kadhaa has a baada ya kusikia sakata lake na Gwajima. Kuna vitu kadhaa nimejifunza. 1. Wa Tanzania tulio Wengi tunapenda mipasho. Tunapenda kusikiliza stories ambazo hatuhangaika kutafuta ukweli wake. Tunaamini kwasababu fulani...
  11. Mwalimu Mkuu

    CCM wamekosea kutumia M4C kumnadi Magufuli

    Kwani matumizi ya nembo hii yameidhinishwa na ccm Rasmi ama ni Kazi za vijana wa mtandaoni?
  12. Mwalimu Mkuu

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    Kampeni mwisho ni saa kumi na mbili jioni. Nec wanatakiwa kuangalia namna ambavyo itv inatumika na ukawa
  13. Mwalimu Mkuu

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    Mbatia sasa anachokifanya sasa ni uchochezi live. Baada ya kipindi hiki ukawa wakiaamua kuingia mtaani kuwasaka wanachama wa ccm itakuwaje? Je ccm wakiamua kujibu hoja itakuwaje? Vitendo vya uvunjifu wa amani vinafanywa na pande zote. Kuna video zinatumwa zimehaririwa kwa pande zote. Hakuna...
  14. Mwalimu Mkuu

    YA NARC NA MWAI KIBAKI...Je UKAWA/LOWASA wana la Kujifunza??

    Well said, Tatizo letu pengine ni kutolijua tatizo lenyewe. Tuna mahaba na vyama/watu kuliko Sera. Nadhani Sera inaweza kutuunganisha zaidi kuliko watu. Hata Kama itatokea jemedari kuanguka vitani, tutateua mwingine aendeleze mapambano. Shida ni tunapochagua mtu bila kuijua Sera, akianguka wote...
  15. Mwalimu Mkuu

    Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Hongera Sana ACT mama yupo vizuri mno. Sema timing ndio inaweza isiwe sahihi lakini binafsi nimewaelewa.
  16. Mwalimu Mkuu

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Lowassa anapokuwa anasaini mikataba feki anakuwa naye huko ofisini?
  17. Mwalimu Mkuu

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Kama ni kwa ajili ya bawacha tu mbona wakaupeleka live ITV/Azam? Au hizo ndio TV za wabacha?
  18. Mwalimu Mkuu

    Magufuli na data za uongo

    Alisema kwa Mara ya Kwanza Tanzania na dunia itajua. Tanzania haijawahi kuwa na Makamu mwanamke hivyo itakuwa ni historia itakayojulikana Tanzania na ulimwenguni. Kama hujui matumizi ya lugha uliza uelekezwe.
  19. Mwalimu Mkuu

    Tatizo la website ya TCU kutofunguka

    Toka Jana hata Mimi nimejaribu haifunguki. Nadhani itakuwa imezidiwa traffic
Back
Top Bottom