Search results

  1. W

    Tunafanya ground water survey tupo dar es salaam

    Habari wana jf,hakuna haja ya kupata hasara wakati wa kuchimba kisima.kuna mtu anaweza akachimba kisima akakuta maji hakuna na akawa ameingiya gharama zisizokuwa na msingi na mwingine anaweza akachimba kisima akakutana na maji yasiyotakiwa kunywewa na mwanaadamu nae pia atakuwa ameingiya gharama...
  2. W

    Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

    Yap njia zipo mkuu wala usiogope
  3. W

    Jamani mkopo wa haraka

    Best upo
  4. W

    Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

    Bila ya offer kitu kama Tank huwezi kupata
  5. W

    Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

    Tunauwezo wa kufika hadi zaidi ya mita mia
  6. W

    Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

    Urefu wa kisima unategemea na eneo uliopo kwa mfano waliopo bunju unafikia hadi mita 90 waliopo kigamboni unafikia hadi mita 40 na zaidi
  7. W

    Ground water survey: Wakazi wa Moshi na mikoa ya jirani mjiandae

    Discount ni 14.28% ya gharama nzima utapata mkui
  8. W

    Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

    Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na kukupa Tanki la Lita 1000 au 2000. Tupo Dar es salaam Tuwasiliane kupitia namba 0659839446..
  9. W

    Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

    Wakuu karibuni huduma bado zinatolewa
  10. W

    Ground water survey kwa wakazi wa Moshi na maeneo ya jirani tunakuja mjiandae

    Unasema kweli mkuu? Lakini hii nifursa kwa wale wenye shida ya maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba yao kunyweshea mifugo yao nk.
  11. W

    Ground water survey kwa wakazi wa Moshi na maeneo ya jirani tunakuja mjiandae

    Habari wana jf, hii ni fursa kwa wakazi wa Moshi na waliopo mikoa ya jirani na moshi tutakuja kufanya Ground water survey maeneo ya huko kuanziya tarehe 8/12/2015 kwa yeyote atakaye hitaji huduma yetu tafadhari piga simu mapema ili tuweze kukuorodhesha katika wateja tutakaofanya nao kazi katika...
  12. W

    Ground water survey: Wakazi wa Moshi na mikoa ya jirani mjiandae

    Ukihitaji pia na kuchimbiwa kisima karibu kwani bei ni sawa na bure kabisa pamoja na nyongeza kibao ndani yake
  13. W

    Ground water survey: Wakazi wa Moshi na mikoa ya jirani mjiandae

    Wale woote walionipigiya simu wajiandae tarehe 8 tunakuja huko
  14. W

    Ground water survey: Wakazi wa Moshi na mikoa ya jirani mjiandae

    Kuwa wa kwanza kufanyiwa survey karibuni saana
  15. W

    Ground water survey: Wakazi wa Moshi na mikoa ya jirani mjiandae

    Habari wana jf, hii ni fursa kwa wakazi wa Moshi na waliopo mikoa ya jirani na moshi tutakuja kufanya Ground water survey maeneo ya huko kuanziya tarehe 8/12/2015 kwa yeyote atakaye hitaji huduma yetu tafadhari piga simu mapema ili tuweze kukuorodhesha katika wateja tutakaofanya nao kazi katika...
  16. W

    Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

    Tuta less gharama za tank na pump
  17. W

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu natafuta zile gari za zamani zile za pegeot ntazipata wapi na ni shillingi ngapi wakuu
  18. W

    Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

    Mkuu ile ilikuwa ni typing error bhana hii ndo kazi inayonilisha siwezi kuleta magumashi yoyote yale
Back
Top Bottom