Search results

  1. R

    Membe vs January Makamba

    sasa ukivua magamba kama kobe si utabaki uchi?
  2. R

    Kikwete: Tutatumia mkongo kufundishia wanafunzi

    I think father of the house the best way iz to restart your statement
  3. R

    Mch. Mwasapile vs. Mch. Rwakatale

    Me nafikiri mch.mwasapile ametumwa na mungu kuja kuonyesha maajabu ya mungu hivyo mwacheni atibu watu na serikari itambue ya kwamba kuna maswala ya kisayansi; mitishamba na kiimani pia. Hivyo kuna haja ya ya kutunga sheria ndogondogo za kuwalinda badala ya kupinga tu.
  4. R

    List of top universities & colleges in Tanzania 2011

    Hata mkiyumbisha dishi university of daresalaam na college zake lazima iwe juu
  5. R

    Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

    nami pia nimepotelewa na vyeti vyangu lakini kwa nini sisi waTZ hatuwezi kuwa waaminifu kwa kurudisha vyeti vya watu
  6. R

    Adhabu ya viboko mashuleni - should it be abolished?

    Adhabu ya viboko inatakiwa kwani vijana weingi wasasa hawataki kusoma ila wanataka kufaulu sasa ili hwa madogo wajue kwamba elimu sio sebene lazima wanyukwe viboko ili washike adabu.
  7. R

    Elections 2010 Kongamano kuuubwa siku ya jumapili tar 13/2/11-morogoro

    Naomba redio kutoka iringa waige wenzao wanavyofanya kwa kufanya makongamano mfano hapa njombe tuna shule kubwa nanyingine nyingi kwa nini hamhoji nini chanzo cha wanafuni kufeli sio mnauliza watu ambao hawafahamu chanzo
  8. R

    Elections 2010 Nguvu ya uma

    Nguvu ya uma haichezewi,nguvu ya uma haina msomi,nguvu ya uma haiogopi vyombo vya dola nguvu ya uma ni Ishala kwamba ya umoja na si unafiki DONT PLAY WITH PEOLES POWER.:second::second::second:
  9. R

    Jinsi ya kupata udhamini wa masomo

    natafuta udhamini wa kusoma MA ya linguistics MAREKANI
  10. R

    Mike tyson Vs Lennox Lewis

    Haloo ngoma ya kisafwa ni noma sana kwani ni lazima ucheze na mkuki afu ushibe kama hujui njoo mbeya utakutana na man`goma pia ndo utachoka kabisa.
  11. R

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Mimi nashindwa kuelewa tunakwenda wapi na hali ya watanzania itakapofika mwisho itakuaje kwani mpaka sasa walimu mbali na kuwa na mishahala midogo bado mikopo inabaniwabaniwa mfano kuna uhalali gani wa mwalimu kukaa miaka 3 ndio akopeshwe wakati probation period yake ni mwaka mmoja na viongozi...
  12. R

    CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

    `pepoples`POWER! NACHO FAHAMU MIMI CHADEMA TUNA HAKI YA INCHI YETU YENYE RASLIMALI NYINGI INACHEZEWA NA WATU WACHACHE SIKUBALI HATA KIDOGO NAAMINI KTK NGUVU YA UMA
  13. R

    Syllabus for secondary schools

    `my dear friend you are asking for the o`level syllabus`even we teachers who are called educational officers we are facing the same probem out of that we are told to prepare things like scheme of work,lesson plan,teaching notes,attendance register ASK THE GOVERNMENT HOW MANY STUDENTS PER ONE...
Back
Top Bottom