Search results

  1. M

    Natafuta kaz ya upishi wa bites/vitafunwa

    Mimi Ni mtaalam wa kutengeneza vitafunwa mbalimbali kama maandaz, sambusa, half cake, kababu, egg chop, piza, Bajaj, n.k. Hivyo natafuta nafas ya kaz sehem yoyote ile, ila kwa Sasa nipo Mwanza. Kwa ataesikia au anafaham, msaada plz 0714799804
  2. M

    Natafuta viti vya plastic (used)

    Habarin za jion jaman. Ninahitaj kufungua biashara, hivyo nahitaji viti vya plastic Ambavyo tayar vimeshatumika, kwa mwenye kuwa navyo au anafaham aliyekuwanavyo anisaidie tafadhal.
  3. M

    Natafuta mchumba muislam

    Mie naishi dar, natafuta mchumba wa kike muislam, awe mtu wa dini na amehifadhi Qur-an. awe anaishi dar, kwa aliye tayar
Back
Top Bottom