Search results

  1. lanyese

    Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Acha war propaganda unadanganya watu , APC sio land cruiser au vitz iunguzwe kirahisi hivyo na watu wasitoke, kawadanganye wasiojua Labda wamefanikiwa kuzidamage
  2. lanyese

    Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    Central Africa na Congo ni moja ya Nchi zilizobarikiwa zaidi ni Kubwa na Wana Kila kitu Madini yote , ardhi nzuri , misitu ya Asili kuliko nchi yoyote Duniani Mzungu aliwaachia laana hizi Nchi.
  3. lanyese

    Kama M23 wanazidi kusonga mbele kwa kupata ushindi, Majeshi ya DRC & EAC yameenda kufanya kazi gani?

    War propaganda usiamini Kila kitu Cha kweny media hasa za west ikiwa Wana maslahi na migogoro hiyo .
  4. lanyese

    Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

    Ali muotea akashinda moja ila kwangu hii ndio the best trilogy matches kwa heavyweight sio boxing za kina AJ boring fights.
  5. lanyese

    Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

    Golden Era ila Evander alikuwa Mtu na nusu, a real fighter hakuwahi kukwepa wala kuogopa mtu alipigana na Tyson mara 2 , George foreman, Riddick Bowe mara 3 , Lennox Lewis mara 2 , buster Douglas, Larry Holmes wote ni formers world heavyweight champions.
  6. lanyese

    Taaasisi 5 zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Jiunge uko na wewe ukale ni free.
  7. lanyese

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Everything that is close to God receives attacks, They are desperately kuharibu image ya kanisa Duniani . Ila hawatashinda
  8. lanyese

    Chorus za HipHop zenye ujumbe na kali za muda wote

    "Mzawa wetu fanya usawa ukae kwetu , hatufika kama ubaya ndio uwepo wetu, hakuna dili na chini ni mwendo peku Yesu bado hajarudi na hatujui kesho yetu" - One the Incredible
  9. lanyese

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Achana nae huyu hajui chochote kuhusu boxing chuki chuki zake ndio zimemleta hapa . Huyu mtu yuko happy Mtanzania mwezake Kupigwa na anaogeza uongo ambao haufaham.
  10. lanyese

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Alicheza foul iliyopelekea Kidunda kupata injury juu ya jicho but alikuwa anaongoza kwa score board hadi match inahairishwa . Second fight Katompa alipigwa vizuri tu . Sio unaponda na kusifia Wageni tu
  11. lanyese

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Acha kuponda kila kitu pambano la marudiano Kidunda alimkalisha chini uyo Katompa wako , clear win nenda kaangalie tena
  12. lanyese

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Everything close to God receives attacks , atashinda tena katika hili
  13. lanyese

    Nilichogundugua kwenye mchezo wa leo wa Simba v Coastal Union

    @mttupolli Una kitu utafika mbali
  14. lanyese

    Vodocom ni kampuni legelege kuliko Tigo

    Tigo ndio kampuni ya kwanza ya simu za mkononi kuingia Tz ikiitwa Mobitel < Buzz ndio ikawa Tigo ila vodacom is still the best
  15. lanyese

    Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Nisha achana na line yao kitambo wanaongoza kwa wizi wa mabando
  16. lanyese

    Must see Movies

    Jamaa yuko smart hadi gerezani aliishi kwa principle zake wakajua ni Agent. anaambiwa ukihitaji chochote useme simple aliishi vizuri tu .
  17. lanyese

    Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Useless mindset ! wewe umeuza nyumba yako kwa muhindi 20bln tena unalipwa kwa mafungu, mwezako kapangisha nyumba yake 10bln kwa miaka mitano.. bila aibu unatoka kumcheka. Muhindi amepata mbumbumbu wengi.
  18. lanyese

    Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Wanasema mdomoni mwake ana bacteria wengi hatari sana kama akikung'ata huwez kupona hata hakuwahishe hospital unapata septic shock baada ya mda kidogo.
Back
Top Bottom