Search results

  1. D

    Mdada wa benki wa ukweli sana

    :eek:hatari sana
  2. D

    Je, wajua kwamba unaweza kuwa unafuatiliwa kupewa ajira ya huduma ya siri ya serikali bila kujua?(Shushushu)

    Naomba wale wazee wa kitengo waangalie tena upya majukumu yao. Naomba siku hizi hayo tote hayafatwi
  3. D

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Tumekusikia!
  4. D

    Na Kuacha Vifua Nje Nako Ni Fashion?

    Duh !!!!
  5. D

    Nassari kufikishwa mahakamani kwa kuchimba visima bila kibali.

    asante kwa tetesi zako, ila kwa hili hakika halitwezekana kabisa.
  6. D

    Historia ya Komandoo Tarimo

    Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania. Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.
  7. D

    Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

    Hongera kaka
  8. D

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Tuko pamaoja kaliwakilishe jimbo lako vyema bungeni.
  9. D

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Jeshi latwaa uwanja wa ndege, Sirte Picha za Gaddafi za ng'olewa uwanjani Wanajeshi wanaoitii serikali ya mpito ya Libya wametwaa uwanja wa ndege katika mji wa Sirte, mahali alikozaliwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi. Wapiganaji walisonga mbele kupitia majengo ya uwanja wa ndege...
  10. D

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Awali ya yote natanguliza pole nyingi sana kwa Taifa letu la Tanzania katika wakati mgumu hasa wa tukio kubwa lililotokea hapo siku ya Jumamosi majira ya usiku mwingi pale ndugu na jamaa yetu walipopoteza uhai wao. katika hali ya kustajabisha kabisa watu wengi wameanza kuchanganya na siasa...
  11. D

    Mwanamke na kufika kileleni

    Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile tukiachilia mbali swala la kukeketwa. Baadhi ya wanawake hufikia kilele mara moja tu (tena kwa shugulikiwa kisimi sio ule uhondo wa kumani) kila wanapofanya...
  12. D

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Familia ya Gaddafi yatorokea Algeria mke wa Kanali Gaddafi wanawe wa kiume na binti yake Mke na watoto watatu wa kiongozi wa Libya aliye mafichoni Muammar Gaddafi wako nchini Algeria, maafisa wa Algerian wamesema. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje imesema mke wa kanali Gaddafi, Safia, binti...
  13. D

    Msaada Pls nahisi kuchanganyikiwa

    kwa upande wangu, naomba uachane na yule wa kwanza, kwani kaenda katumika sana kwa watu wengine, na mwisho kabisa kaja kupumzika kwako achana nae, ila fuata kijana wa pili msaidie ili ahadi yenu itimie
  14. D

    Natafuta mtaalamu wa mambo ya mahusiano, matatizo yangu ni makubwa, tafadhali nisaidieni

    Hello Asha Ngedere, jitahidi kuwa mkweli kwani umetuma ombi lako la kuwa unahitaji mtaalamu wa mambo ya mahusiano uku hali ukijua kuwa unadanganya, kwa ufupi mtu ulie mtumia ombi lako namfahamu, Na nillijaribu kuwasiliana nae ili aweze kukusaidia, ila nawe ulimwandikia e-mail, ila katika...
  15. D

    CHUKIi!!

    Hello rafiki, pole sana kwa hali unayopitia, sio wewe peke yako, wapo watu wengi sana wa jamii kama ya kwako. kwa ufupi ni wewe kuamua kusamehe, katika saikolojia kuna kitu tunasema" NGUVU YA KUSAMEHE, rafiki mara unaposamehe kuna kitu fulani uwa kinaondoka rohoni: KINYONGO' ivyo yakupasa...
Back
Top Bottom