Search results

  1. Bigbootylover

    Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

    Usifungwe, tuendelee kupata ushuri zaidi pengine tusioweza tunaweza shawishika kuweza
  2. Bigbootylover

    Wanaume wanaoweza kuoa Mwanamke mwenye watoto/single mothers wanaroho nzuri na ya kipekee sana, Mungu awabariki

    Popote ulipo ikiwa uliweza au umeweza kuoa mwanamke ambaye ulimkuta na mtoto au watoto tayari, basi una roho ya nzuri sana na Mungu akubariki sana. Binafsi mwanamke nispomkuta na usichana wake tu inakuwa tabu sana kumuwazia ndoa, naona kabisa napita tu hapa haolewi mtu, lakini kuna wanaume...
  3. Bigbootylover

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Ok, kuna watu walinisaidia mitaa hiyo, huwa natamani nionane nao nilipe fadhila lakini ramani ilishapotea kabisa, kilichobaki huwa nawaombea kwa Mungu tu.
  4. Bigbootylover

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Hatari sana mkuu, dunia kigeugeu hilooo....Jose Mara alitisha sana humo
  5. Bigbootylover

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    First lady of FM ACADEMIA, alifariki nadhani huyu dada (sina uhakika)
  6. Bigbootylover

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Mkuu hivi macheni bar ilikuwa huku mapipa Morogoro Road au kule mikumi?
Back
Top Bottom