Search results

  1. ledada

    Utambulisho

    Karibu
  2. ledada

    Kuna watu sijui wana matatizo gani fgs!

    Habari zenyu! Niende straight kwenye mada kuna baadhi ya watu sijui wana matatizo gani yaani unakuta watu wamepishana kidogo wanaanza kusemeana maneno machafu kuhusu wazazi smdh! Haijawahi nitokea ila hii kitu inakera, inabore na haipendezi hata kidogo. Hebu niulize, Mnatoaga wapi hizo nguvu...
  3. ledada

    Kwenu wanaume...

    Habari zenyu wapendwa, Nina kiushauri kidogo kwenu wanaume au wababa. Ukiwa au ambao mko na familia zenu tayari, yaani una mtoto au watoto usiwe baba ambaye ukifika tu nyumbani kila mtu anaingia chumbani. Muwe na weekend njema. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ledada

    Unaweza kumruhusu rafiki yako kuwa huru na simu yako?

    Habari za jioni wapendwa!? Leo kuna kijana mmoja kaniambia kuwa ako na rafiki yake wa kike ambaye amezoea na yuko huru sana kushika simu yake (simu ya huyo kijana) na kijana yupo huru pia kufanya hivyo kwa simu ya hiyo dada. Swali kwenu wananzengo unaweza kumruhusu rafiki yako awe huru na simu...
  5. ledada

    Happy Birthday Davet[emoji847]

    Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante. Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu...
  6. ledada

    Ushauri tafadhali; Nimewakuta house girl na house boy wananjunjana sitting room

    Habari zenu wakuu, Jamani jamani leo asubuhi nilitoka nyumbani kidogo kama lisaa hivi. Ile nimerudi nakuta dada(house girl) na kaka ( houee boy) wanakazana sebleni wako bize kabisa mweeh. Aibu nimeona mimi jamani. Nashindwa kumwambia dada maana atawafukuza. Ushauri tafadhali. Mashushu...
  7. ledada

    Uzi maalum kwa wapenzi wa Muziki mzuri

    Unapenda wimbo gani? Karibu tushare na kuburudika pamoja. NB: Wimbo wowote uupendao iwe Gospel, Hip-hop, Rnb, Trap songs, Slow jam, Jazz, Bongo fleva etc etc. KARIBUNI[emoji4] jakitoo
  8. ledada

    Kwa wapenzi wa Nigerian music

    Habari zenu, Kama title ilivyojieleza. Karibuni tukutane hapa.
  9. ledada

    Hodi

    Habari zenu, Naomba mnipokee mimi mgeni
Back
Top Bottom