Search results

  1. L

    Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

    Are you serious?
  2. L

    Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

    Naamini ni wepesi kuelewa unapotoa hoja juu jambo lolote ili litekelezeke na mengineyo mengi
  3. L

    Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

    Rejea kichwa cha post hapo juu, Ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa Dodoma, Morogoro na Dar au katikati ya maeneo tajwa,kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema ndo kipaumbele japo black woman ni sifa ya ziada kwangu, si vibaya akawa na umri usiozidi 27 mpenda...
  4. L

    Pad za ps 2 za mtumba

    Kwa yeyote mwenye pad za ps 2 kuna mtu anaziitaji haraka. Anasema ziwe za mtumba . Ni pm kama unazo. Wa dar na moro.
  5. L

    Ps2 used machine inaitajika haraka

    Jamani kwa yeyote system nzima ya play station 2 used ani pm,kuna mtu anaitaji haraka sana.
  6. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    True hata mm c mchaga lakin niliipenda sera ya elimu bure hadi chuo kikuu kwani elimu ni key muhimu ya kupambana na umaskini
  7. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    plz naomba tusitukanane jamani, tujadili hoja kwa utulivu tu
  8. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Bado sjakuelewa ulichomaanisha mheshimiwa, naomba ufafanue kidogo
  9. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    mheshimiwa magufuli binafsi namkubali sana na hasa kwa sifa ya uchapakazi lakini swali je njia zilizotumika kumfikisha pale ni halali mbele za Mungu na kwa watanzania walio wengi?
  10. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Hicho ni moja ya vitendo vinavyoibua maswali kwangu na kunifanya niwe mtulivu tu ila sina amani kabisa
  11. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Naona umeongozawa na jaziba hadi umeshindwa kutafakari kabla ya kuongea hadi umetoa tafsiri potofu
  12. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Kwani nini tumekosea? Au kosa letu ni kujadili haya yanayojiri Tanzania bila kusahu yale ya zanzibar ambayo hadi wale waliompa misaada mingi na mikopo( Marekani na uingrerza) raisi watanzania jk wanapiga kelele kwa hiki kinachoendelea
  13. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Wahenga walisema hakuna marefu yasiyo na ncha, ee Mungu itimize hii methali hii Tanzania, mm ni mtanzani mwenye utulivu ila sina Amani kabisa, kama Mungu angeniuliza nizaliwe na kuwepo kipindi hiki ningemuomba asiniweke kipindi hiki kwa haya ninayoshuhudia yakifanyika Tanzania
  14. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Mm nadhani kauli chafu sio kishawishi cha kuhalalisha hoja yako, tumia lugha ya kawaida tu ili tujadili hoja kwa amani, sisi sote ni watanzania
  15. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Mm naona hata mahakama nazo sio kipimo cha haki kwa 100% kwani unaweza kuwa na haki lakini kibao kikakugeukia kwa kutojua sheria vizuri, unakuta ni kweli jambazi kaiba lakini anashinda kesi. Ee Mungu tusaidie wanyonge tunaonewa
  16. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Najaribu kutafuta taswira ya Tanzania ya kesho, sipati picha itakuwaje kwa mwendo huu
  17. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Huu ni uchaguzi wa pekee Tanzania kwani huku sioni wananchi wakihamasika kuongelea au kuunga mkono shamra shamra kushangilia ushindi wa huyu mheshimiwa rais anayesubiri kuapishwa ,yani kama vile wamenyeshewa mvua,naona wakeretwa wachache tu
  18. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Sasa mbona wanabeba upande mmoja na upande mngine wanauacha?
  19. L

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Kama itakuwa ni kweli hayo uliyosema,nini hatima ya Tanzania huko mbele, hivi viongozi watakuwa na dhamira ya thati kweli Tanzania kuwa na amani?
Back
Top Bottom