Search results

  1. M

    Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Sio kweli mkuu, mbona wachina ni wakomunisti lakini wanafanya ubinafsishaji? Wametengeneza mabilionea wachina kibao? Makampuni ya ulaya na marekani yamewekeza Uchina ila hawauzi raslimali zao!
  2. M

    Uwepo wa Jehanamu ni habari za kutungwa

    Rafiki Mwanzo 2:17 inasema walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika. Mwa 2:17 SUV. Tunafahamu wafu huwa hawaishi pamoja na walio hai. Kwa hiyo hilo neno "hakika mtakufa" lilimaanisha - hakika mtatengwa na mimi Mungu...
  3. M

    Auawa na kundi la watu kwa kuchoma Quran

    Sasa m Sasa mngonjwa wa akili unamuhukumu kwa lipi?
  4. M

    Bifu linaendelea, Mume wa Waziri Gwajima akana kumtambua Mathias Gwajima kama Baba yake

    Wewe usimsingizie mama wa watu, kabla mama hajashika nchi huyu bwana ana tabia hizi hizi!
  5. M

    Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Unaumiza kichwa bure, fanya kazi ingizia kipato familia yako.
  6. M

    Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wewe ndio hujui, wakiwa Dar hawalipwi posho yoyote maana wana nyumba huko pia. Kwa hiyo kama hiyo ndio ilikuwa tatizo lako nimeshakupa taarifa.
  7. M

    Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Ingekuwa Dodoma inakusaidia nini? La maana nchi imetulia serikali inaendeshwa hata ingekuwa Mtwara sawa tu.
  8. M

    #COVID19 Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Unawaita uchwara wakati ukiugua unawaendea ukilalama. Acha dharau, " unatukana wakunga wakati uzazi ungalipo"
  9. M

    Rais Samia hili la makato mapya ni kaa la moto, linaenda kukupotezea umaarufu

    Mimi sioni kwamba ni haki kumlaumu mama au serikali kwa hili. Mwalimu Nyerere kina wakati alisema "kupanga ni kuchagua". Sasa hivi kwa mtu anayeangalia kwa jicho la tatu ataona tuna miradi mingi na mikubwa kuliko uchumi wetu unavyoweza kumudu. Kama watanzania ni lazima tujue hilo ndio hasa...
  10. M

    Kuumbwa kwa Adam na Eva mbona kunajichanganya kwenye maelezo ya mwanzo

    Wewe unamfahamu Yasir Qadhi? Au unajibu tu kwa kuwa unadhani wote hawajui Kiarabu: nimesema hivi ukiona twanyamaza si kwamba hatujui, hiyo niliyokupa ni tip of the ice berg usinilazimishe niongee zaidi.
  11. M

    Kuumbwa kwa Adam na Eva mbona kunajichanganya kwenye maelezo ya mwanzo

    Yasir Qadhi admits to Muhammad Hijab that the (Quran) standard narrative has holes in it. What is your opinion about this controversy? Answer 3 Follow Request More Ad by Y-Jesus.com Who Is the Real Jesus? What does historical evidence reveal about Jesus’ true identity? Learn More 11...
  12. M

    Iran nchi inayoongoza kwa kuikopesha Tanzania

    Kwa hiyo kwako wewe anayekudai ndio rafiki? je anayekupa vya bure utamuitaje? Nilitegemea watanzania wenzangu muangalie namba hizi: nchi zinazoongoza kutudai ni zile zenye kuzalisha mafuta kwa wingi, lakini tungetumia gesi yetu tunauhakika wa kuokoa takriban nusu ya hii hela halafu na sisi...
  13. M

    Kwanini mwenyezi Mungu hajapenda kuonekana kwa binadamu ?

    Huwezi ukamuona Mungu halafu ukaendelea kuishi (Kutoka 33:20). Nitatoa mifano michache: 1) barafu iliyotamani kupata uzoefu wa kukaa ndani ya tanuru kwa angalau nusu saa tu. 2) Mtu aliyetamani kutua kwenye jua na chombo chake cha anga za juu. 3) Chombo cha plastic kilicholalamika na kudai...
  14. M

    Hivi UN inashindwa nini kuitambua Palestina kama nchi huru?

    Makubaliano ya 1947? Mbona waarabu waliyakataa mapendekezo hayo ya UN?
  15. M

    Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Atakakohamia hatalipa, kwa hiyo imejibalance. Nadhani faida ya mfumo huu ni urahisi wa kulipa kwa mlipaji pamoja na uhakika wa serikali kupata kodi yake. Details nyingine nadhani zitaangaliwa kutokana na michango ya wabunge.
  16. M

    Msaada: Nyoka Mkali anazunguka Mazingira ya Nyumbani

    Multiple bites sio kigezo pekee cha kutambua aina ya nyoka. Hao ni wanyama wanaweza kuwa na tabia tofauti. Lakini kwa koboko hayo ni maumbile yake hawezi kupiga dry bite, akikugonga sumu lazima itoke. Lakini kama nilivyosema hawa ni wanyama: na kama ni koboko kweli basi alijeruhiwa akawa hawezi...
  17. M

    Msaada: Nyoka Mkali anazunguka Mazingira ya Nyumbani

    Huyo hakuwa koboko, atakuwa alijuwa nyoka mwingine asiye na sumu. Koboko hawezi kung'ata bila kuweka sumu, hana uwezo wa kuzuia sumu akigonga. Tifauti na nyoka wengine ambao wanaweza kukupiga "dry bite" kama anajua wewe sio chakula chake na pia humuwindi ili kumuua.
  18. M

    Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

    Halafu kuhusu Wayahudi kuukubali ushoga: kwanza ni wachache sana ambao pia sio wayahudi kwa dini. Watu wa jinsi hiyo wapo kote duniani. Kuna maeneo serikali zao (hii ikiwa pamoja na Israeli) wanakubali kwamba wapo. Kuna serikali nyingine duniani zinakana - ila wapo, ndio sababu zinaweka adhabu...
  19. M

    Taifa la Israel halina uhalali wa kumiliki Gaza

    Kwa sababu hamkubali ndio maana amani haitakuwepo. Mmeshaona mara nyingi hakuna muungano wowote wa kijeshi dhidi ya Israel unaofanikiwa. Kwa hiyo kama mnadhani hao ni feki haya endeleeni lakini tusisikie mnalia wala kulalamika. Mimi nilitoa ushauri tu: mtu akitaka amani na mafanikio aitakie...
Back
Top Bottom