Search results

  1. Hazolehalijuma

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    bado mnasema mna wanachama hai? siwaelewi ccm, nawaambia hv huu uchaguzi wa mwaka huu hauna cha uanachama wala nn! kama ni hivyo gawa nusu hao mguu ndani lkn hawa wengine nusu muguu ndani/ nje
  2. Hazolehalijuma

    Kigoma waibwaga UKAWA na Lowassa

    Mr.chin kazi unayo! lkn poa kwasababu mkono unaenda kinywani si mbaya! komaa january asiwaachishe kazi
  3. Hazolehalijuma

    CHADEMA imeingiliwa, inasikitisha ila ndio kweli

    vijana wa lumumba komaeni dk za mwisho hizi msije fukuzwa kazi na january makamba
  4. Hazolehalijuma

    UKAWA Makongolosi waanza kuchana bendera

    watu wengne hivi tuliopo humu jf ni mapoyoyo sio! eti mimi nipo makongolosi na ni ngome ya ccm halafu anajichanganya nilimpigia simu dada mmoja nikamuuliza hbr za mabadiriko! come on! jifunzeni propaganda bhana aaaah! tena usirudie tena kudanganya.VIVA UKAWA
  5. Hazolehalijuma

    Mkutano wa Dr. Magufuli akiwa Mchinga, Kilwa,Ikwiriri na Mkuranga - Oktoba 13, 2015

    Mr.chin umekomaa kutoa nyuzi tofautitofauti humu. Nimegundua wewe ni mtu muongo sana tena sana! mm siwezi kukusikiliza kamwe
  6. Hazolehalijuma

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    hahahahaaaa ccm msijidanganye hao watu 1/3 basi ndio wamekuja kusikiliza ilani yenu lkn 2/3 wote wamekuja kwaajili ya fiester. Nimewakubali sana wtz wamebadirika sanaaaaa. VIVA UKAWA
  7. Hazolehalijuma

    Jimbo la Monduli katika ubora wake

    Acha kutuletea propaganda hapa bhana! wewe mwenyewe unataka tuamini ulichotuandikia hapa, hakuna asiyeijua TZ, tupatie kura yako halafu baada ya miaka mitano rudi utuulize kama mabadiriko yapo au hamna. VIVA UKAWA.
  8. Hazolehalijuma

    Ipi ilikuwa nafasi ya Juma Mwapachu ndani ya CCM?

    hahahaaaa! maccm bhana mtaropoka sana safari hii. mbona mtakaa tu
  9. Hazolehalijuma

    Yaliyojiri kutoka uwanja wa Mpilipili: Mkutano wa Dr. Magufuli jimbo la Lindi - Oktoba 12, 2015

    Naomba kujua wadau, hivi ' MAGUFULI na MAKUFULI' haya ni maneno yenye maana sawa?
  10. Hazolehalijuma

    Yaliyojiri kutoka uwanja wa Mpilipili: Mkutano wa Dr. Magufuli jimbo la Lindi - Oktoba 12, 2015

    Hata mimi nimemsikia! hawa jamaa wanahubiri amani wakati wao ndo wamejipanga kutuvunjia amani. cjui wanapata wapi ujasili wakusema hayo.
  11. Hazolehalijuma

    Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

    Teheteheteheeeee maccm jiandaeni kisaikolojia
  12. Hazolehalijuma

    CHADEMA Operation #TorokaUje imetikisa mji wa Musoma Mjini leo hii!

    eti aliyetoroka ni nani! hata waikuambia utamfaham? wewe jua ni kada wa ccm
  13. Hazolehalijuma

    Ukitaka ukweli basi yakupasa kujua idadi ya wapiga kura Jimbo la Arusha mjini

    yaan hata ambao kazi yao kusikiliza tu ni wabishi kama wamekula ugali wa ndele! nani asiyeijua arusha? hao watu mmewatoa mbali tuulizeni tuliokuwepo, watu wameletwa na maroli utadhani matikiti maji halaf eti Arusha imezizima! semen ukweli yale maroli yamewatoa wapi?
  14. Hazolehalijuma

    Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

    kilevi cha ushabiki ni kibaya sn! sijui kama mnafikiri kwa umakini sana sn mnapost comment zenu! mungu anashuhudia kila kitu na mungu anawapenda sn watu wake, lkn km mtashindwa kubadirika ipo siku ataitwa nuhu wa pili, kwasababu hamsikii. hamheshimu tena watumishi wa mungu mnatukana tu! sijui...
  15. Hazolehalijuma

    Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    MKUU mwamnyange watanzania wanakupenda sn wanauliza upo wapi? japo tu sauti yako watafurahi sana! ila msituletee habari za birali hapa.
  16. Hazolehalijuma

    Miss Tanzania 2014/2015 Lilian Kamazima: Rais wa Tanzania ajaye ni Magufuli

    eti miss! kama sio aibu ni nn? ccm mmekosa watu wa kuwaombea kura! mtu mwenyewe hana impact hv ataongea nn huyo shenzitype
  17. Hazolehalijuma

    Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    au 0715908827
  18. Hazolehalijuma

    Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    natafta chumba wa kuoa , tuwasiliane kwa 0715908727
  19. Hazolehalijuma

    'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

    ulitumia masaburi kufikiri wakati unaandika huu uzi ee
  20. Hazolehalijuma

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    daaaah yaan hadi kichefuchefu! hvvv! huyu jamaa anakera sn, sijui yukoje?
Back
Top Bottom