Search results

  1. zoeca

    Kumuelewa Kiongozi Ni Hekima.

    Tambua amepataje nafasi Hiyo, Linganisha na maamuzi ya nafasi alizowahi shika, Kuwa mkweli, acha mihemko utamuelewa. kuna series moja, "Designated Survivor " Penda sana hii kitu. TUACHE KUPIGA Kelele tumpe Kiongozi Mda na Yeye achambue bila kuonea upande.
  2. zoeca

    Tuwe wasema kweli

    Tuwe wasema kweli pia Tunaomba UKWELI uheshimiwe. Hii nchi tumeishi kwa upendo toka mwanzo, kama vyama vingi ni kelele masikioni mwa baadhi basi ipelekwe hoja vifutwe. swala LA kutotembeleana na kujenga uadui kisa tofouti ni itikadi ni vema kila Mtanzania atambue utu ni zaidi ya itikadi na...
  3. zoeca

    Kuongeza pato baada ya wahisani kugoma

    Kwanza kuna nyumba nyingi za kupanga hazilipi kodi, mtu kwa mwezi unalipa 50000 kwa mwezi, alafu mpo kumi, mbaya serikali haipati chochote, wakati muuza mkate analipa kodi, tuanze hapa. Mbili turudie mikataba ya madini, Tz tupate 75%, mtu hataki avunje mkataba. Tatu mafisadi wote, EPA...
  4. zoeca

    Jimbo la lushoto, tusikate tamaa Jumapili inatuhusu

    tarehe 22/11 ndo uchaguzi wa mbunge wetu. nawaomba vijana tuwe makini na walaghai wa tsht na buku mbili, hv 2000 itakufikisha wap? mi ni hayo 2, pia embu hv vikao visivyorasmi viishe, leo nimempuzisha kazi msichana kwa kuacha shop bila m2. et kisa 2000?
  5. zoeca

    Hivi, pale Mgombea anapogawa fedha kwenye kampeni sio rushwa?

    Jana kwenye mkutano wa CCM uwanja wa Tangamano Tanga, tarehe 8/9/2015 live mgombea katoa hela tena mbele ya camera , wakuu hii sio rushwa?
Back
Top Bottom