zoeca
Senior Member
- Nov 24, 2010
- 130
- 11
Kwanza kuna nyumba nyingi za kupanga hazilipi kodi, mtu kwa mwezi unalipa 50000 kwa mwezi, alafu mpo kumi, mbaya serikali haipati chochote, wakati muuza mkate analipa kodi, tuanze hapa.
Mbili turudie mikataba ya madini, Tz tupate 75%, mtu hataki avunje mkataba.
Tatu mafisadi wote, EPA, Escrow, Richmond, nk. wakamatwe na wafirisiwe hela ii ni hela kubwa kuliko misaada.
JPM, kazi kwako.
Mbili turudie mikataba ya madini, Tz tupate 75%, mtu hataki avunje mkataba.
Tatu mafisadi wote, EPA, Escrow, Richmond, nk. wakamatwe na wafirisiwe hela ii ni hela kubwa kuliko misaada.
JPM, kazi kwako.