Search results

  1. R

    Maombi ya kazi ya kujitolea JamiiForums

    Elimu Ya "Brain Resting Now" (BRN) Ni tatizo, hujui hata umri wako?
  2. R

    Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

    Umwambie Kuwa Umeisha Mgonga Mara Mbili Mkiwa Kazini, Ili Alipe Akiwa Anajua Kuwa Amechapiwa
  3. R

    Wananchi ni nini mmejifunza na Uchaguzi uliopita?

    Tumejifunza kuwa rais huteuliwa na taasisi siyo wananchi, tumejifunza kuwa tanzania ni nchi ya kidikiteta(haina mfumo wa vyama vingi), tumejifunza kuwa pesa huongea lugha yoyote, mfano "ushindi utapatikana kwa gharama yoyote ile" (JK wa pili). tumejifunza kuwa hakuna haja ya kupiga kura...
  4. R

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Umesahau Zile Milion 50 Kwa Kila Kijiji
  5. R

    Awamu ya tano: Shauri nini kifanyike katika kuboresha Elimu

    Hiyo ni kweli, lakn inapaswa kabla ya kutoa ushauri wa jambo, kwanza ujue tatizo au chanzo sababishi cha jambo hilo, mfano hapa kwetu tanzania upande wa elimu kuna matatizo mengi ambayo yakipatiwa ufumbuzi ndipo elimu itakuwa bora, matatizo hayo ni 1. Absence qualfied teachers at both levels...
  6. R

    Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Huyo Mwanamke Ni Mtu+mbavu Na Kwa Mujibu Wa Maandiko Yamenena "Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano, upumbavu wake hautamtoka"
  7. R

    Utafanyaje mkeo anatumiwa nauli ofisini kwako?

    Hata Biblia Imenena " Mpumbavu Hudhihirisha Hasira Yake Yote, Bali Mwenye Hekima Huizuia Na Kuituliza"
  8. R

    Wanafunzi vyuo wakosa mikopo, Serikali haina fedha

    Speak when you feel that your words are better than your silence.
  9. R

    Ulaji wa vyakula vyepesi ni tatizo kwa vijana

    Tena Hao Vijana Wadeiwaka Wanapiga Kaz Ngumu Malipo Kidogo
  10. R

    Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Vicent Nyerere Chinja Huyo Vedastus Mathayo Asiyejua Matamshi Ya Neno "AGRICULTURE"
  11. R

    Lowassa hana nia ya kujenga upinzani

    Asiyejua Maana Haambiwi Maana, Maana Akiambiwa Maana Ataiharibu Maana Na Haitakuwa Maana Tena.
  12. R

    ITV wamekuwa hawaoneshi Mikutano ya CCM ya Kampeni

    Umesahau MIFUKO YA RAMBO, LUMBESA NA VIROBA VYA TEGETA ESCROW!???? unakumbuka ya zamani na yasasa huyaoni na huyajui.
  13. R

    Kama kuna siku CCM imefanya sombasomba basi ni leo

    Mimi Ninavumilia Kuwa Mtanzania Ila Sijivunii Kuwa Mtanzania Japo Kuna Wengine Ni Walanchi sio Wananchi.
  14. R

    Muhimu kwa wapiga kura wote kesho!!

    Hiyo Namba 4 itakuwaje kama una T-SHIRT la njano mfano ile ya "babalance" ukavaa ukaenda kupga kura, vp hapo utakuwa ni mwana+chama?
  15. R

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Pia muwaeleze wananchi kuwa wanatoa kodi za ujenzi wa barabara pasipokujua kupitia ununuaji wa mafuta ya taa, sabuni, kiberiti na petroli. pia muawaambie kuwa hata tanesco wakikata umeme bado tunazo cm tumejiumga simu.tv pia kuna m power umeme haukatiki.
Back
Top Bottom