Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

Campeni mwisho saa12 jioni hana mamlaka ya kuhutubia taifa,hizo zitakua kampeni na atakua ametoka nje mda

zitakua-zitakuwa
mda-muda
Campeni-kampeni
atakua-atakuwa
Usijali utawala wa Lowasa utawasaidia malofa kama nyie kusoma bure.
Vipaumbele vyetu-
1-Elimu
2-Elimu
3-Elimu
 
Hata wakizima umeme,vijijini watanzania wanasolar power kama kwa Mama yangu Mleba!

Pili,Salary siku hiyo tutawaeleza watanzania jinsi mfumo wa ccm unavyoifisidi Tanzania kupitia Sherehe za Mwenge huku wakilipwa posho lukuki

Pia,tutawaeleza watanzania jinsi kipato chao kidogo,kinachotokana na Malipo madogo ya bei ya mazao yao,ndio ndio maana hawawezi kununua bati ambalo bei yake iko juu!

Pia muwaeleze wananchi kuwa wanatoa kodi za ujenzi wa barabara pasipokujua kupitia ununuaji wa mafuta ya taa, sabuni, kiberiti na petroli. pia muawaambie kuwa hata tanesco wakikata umeme bado tunazo cm tumejiumga simu.tv pia kuna m power umeme haukatiki.
 
Utawala wa Jk na serikali yake ulikwisha fitinika na kuparaganyika.....

Macho na masikio ya watanzania ni kusikia mpendwa wetu Lowassa atawaambia nini wananchi.

Lowassa ndiyo tumaini pekee lililobaki
 
,watu wanaomb msibani wamefimb macho nyie mnasema eti amesinzia,,,hamwangalii ht picha vzr
 
Afanye vivyo hivyo baada ya kipigo cha tarehe 25. Akubali kushindwa baada ya kugaragazwa na Magufuli
Lizabon unajidanganya Lowassa anakubalika nipo dar kila kona Lowassa. Ninekwenda Mbeya na Mwanza balaa arusha ndo funga kazi.ccm hadi mnamkodi mama wa taifa. Ari tete sana ccm.
 
Aliyekwambia ukilala msibani marehemu hapokelewi mbinguni nani? Ni muhimu kujua jinsi ya kugawa muda wako. Haina maana unaruka ruka wakati mvua inanyesha halafu ikiisha unaenda kulala.
 
Molemo:

Mmefeli ktk hii mara zote, kwanza Uzinduzi wa Kampeni baada Lowasa Kufeli kuongelea Ilani yenu Jangwani, Uliandaa aongee recorded kwenye Vyombo vya Habari kisha iwe edited lakini ukashindwa Kumhifadhi Mgombea wako ITV walirusha edited vizuri, huku Azam two wakirusha kama ilivyo ikionyesha Udhaifu wa Mgombea wako.

Umeandaa Tangazo la kumnadi Mgombea wako huku ukiacha/ukiruhusu Clip zikizunguka kwenye mitandao kumfedhehesha Mgombea wako kwa Udhaifu hii ni AIBU kwako.

Umeruhusu First Lady wako adhalilishwe mmemnywesha Bia/Viroba na kumrekodi na kutuma kwenye mitandao.

Ukweli ni Kwamba hufai hujui maandalizi nina lmani hata hii UTAFELl. Tusubiri
 
Una akili timamu?
 
Vidonge ninavyowapa vinafanya kazi khe khe he khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Come on Pombe. Yaani ikifika J3 saa 5 tu tutakuwa tunaheshimiana wote wezi watakimbia JF. Maana yale mabaki ya peremende wanazolambalamba zitakuwa zimekwisha.
 
Back
Top Bottom