Search results

  1. iddy eba

    Tatizo la kutosikia vizuri na body balance

    Hapana mkuu sikufanikiwa
  2. iddy eba

    How I Met My Wife

    Oyoooo
  3. iddy eba

    How I Met My Wife

    Hivi mnaichukuliaje Hollywood?? Kila story nzuri humu mnasema level za Hollywood au iandikiwe kitabu kiuzwe online. Ni rahisi hivyo?
  4. iddy eba

    Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Asante kaka kwa moyo wako. Hatua ya kujitoa uhai ni kubwa sana sidhani kama nitafika huko. Nitakutafuta IshaAllah
  5. iddy eba

    Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Thank you sister, Asante sister. Tunadharauliwa sana yani, lets prove them wrong
  6. iddy eba

    Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Inauma sana dadangu, Napitia maisha kama yako
  7. iddy eba

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Unaonaje hii iwe ndio special thread yako mkuu, kama kuna mada au story yoyote unaweka tu hapa hapa
  8. iddy eba

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Biriani hii hii ya Mariamu?
  9. iddy eba

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Sio kwamba alikuwa busy sana au offline, Watu wengine tunapenda kusoma tu nyuz then basi labda tunalike tu. Kucomment labda nyuzi ikuguse sanaaa kama hii ya mzee wetu JBourne59, so mkuu usimshangae sana Mswati Original
  10. iddy eba

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ma Maini mazima ya kazi gani?
  11. iddy eba

    Makufuli yafungwa darajani, funguo yatupwa baharini kutunza ndoa

    Nitaenda weka langu daraja la kigamboni pale
  12. iddy eba

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hi Hizi sasa bangi
  13. iddy eba

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Nimetoka kucheki game mida hii liver tumefungwa 😔😔😔. nilijua ntapata cha kufutia machozi humu nako holaaa😢😢😢, Ngoja nilale hivyo hivyo ila kesho babu usitusahau😊😊 Usiku mwema wakuu YNWA
  14. iddy eba

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Ila uwezekano wa kuiweka Leo upo?
  15. iddy eba

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Sorry bro 🙏🙏🙏
  16. iddy eba

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Shukran 🙏🙏🙏
Back
Top Bottom