Search results

  1. Ocampo four

    Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Na bado...... Wanazidi kupuputika tu
  2. Ocampo four

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Anatetemesha wapi.... Sikujua kama Magufuli ni mwepesi kiasi hiki.... Akipata asilimia 45% ni miujiza..
  3. Ocampo four

    Hakuna mtu mnafiki kama Manyerere Jackton

    Kwa akili yake eti anafkiri atapata cheo kama CCM watashinda... Ukweli asio jua ni kwamba CCM safari hii haishindi hata kwa dawa
  4. Ocampo four

    Mbowe: Waangalizi wa Uchaguzi wana mpango wa kuisaidia CCM

    Ulinzi wa kura ni lazima, hilo halina ubishi kabisa
  5. Ocampo four

    CCM kutopata kura za watumishi wa serikali

    Watumishi wa Umma hakuna atakayempa Magufuli kura.... Ofisini kwetu Magufuli hapati kura hata 1 na tuko zaidi ya 200
  6. Ocampo four

    Wadau wa Amani na wasomi Watoa Maoni yao juu ya Viashiria vya Machafuko

    Hapo Prof. Bakari naona kagonga Ikulu...
  7. Ocampo four

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hapo napo si alizomewa.... Chezea Mwanza.... CCM iliandaa watu kumbe hawakujua Igoma ni centre kubwa, wananchi walivyomiminika Mzee wa Pushup akaanza kuzomewa ile mbaya
  8. Ocampo four

    Dodoma: Mawakala wa Uchaguzi waelekezwa kuwazuia wanafunzi na wasio wakazi kuchagua mbunge na diwani

    CCM inahangaika sana aiseee... Kwa nini wanatumia nguvu kubwa kaisi hiki?
  9. Ocampo four

    Kyela Kimenuka. Lowassa amfutilia mbali Mwakyembe

    Lowassa hazuiliki hata kwa dawa
  10. Ocampo four

    Hofu kubwa ya CCM kushindwa urais imezidi kutanda mitaani

    Lumumba na Ikulu hakukaliki.... Vichwa vyao vinawaka moto
  11. Ocampo four

    Hii ndio sababu kubwa CCM kushindwa vibaya

    Mama Mangula pole sana kama uzi umekuguza.... Ila huo ndio ukweli
  12. Ocampo four

    Tarehe na mwezi kama ya leo 1991 niliingia duniani

    Usisahau kumpigia Lowassa kura
  13. Ocampo four

    Dr. Magufuli akiwa Misungwi mkoani Mwanza hii balaaa

    Magufuli kushinda huu uchaguzi ni miujiza..... Endeleeni kusomba watu tuone kama itaaasaidia
  14. Ocampo four

    Hii ndio sababu kubwa CCM kushindwa vibaya

    Alipoulizwa anafikiri kwanini McCain alishindwa na Obama 2008, mshauri wake akajibu, "Our campaign turned tactical rather than strategic. We focused more on why Obama should not be president, but much less on why McCain should be." -Wall Street Journal. (Najaribu kuwaza kuwa CCM itashindwa...
  15. Ocampo four

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Tena16 billion per day..... Nimefanya huo utafiti kwa miezi miwili mfululizo....... I am sure of that
  16. Ocampo four

    Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Vibaya sana sana..... Hawa majamaa lazima wawajibishwe
Back
Top Bottom