Search results

  1. D

    Nini chanzo cha kifo cha Habibu Halahala aliyekuwa mpiga picha wa Hayati Mwalimu Nyerere?

    My classmate wangu yeye alikuwa la saba A mimi nipo la saba c chini ya mbabe Ndossi , tulikuwa na tunasoma na mjuku wa kike wa Mwinyi kipindi hicho yeye na shehe halahala walikuwa kama wa date hive
  2. D

    Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Bro umenigusa sana na ujumbe wako kama umeniongelea mimi haya maisha yetu na hizi familia zetu zenye watoto wengi familia moja , matatizo kama hayo lazima yawepo tu.
  3. D

    Hakuna anayependa kukuona unafanikiwa

    Much respect sana kwenye comment yako ulichesema ndio unaniongelea mimi sasa inauma lakini only God's know.
  4. D

    Muugizaji nguli Will Smith akiwa Serengeti

    Bingwa hiyo troused ya will Smith ni Dolce and Gabbana zebra trousers price tag yake ni us dollars 995 , google kwa uwakika zaidi pesa ndefu kibongo bongo
  5. D

    Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

    Bin Sio yule zungu Ali 1 wa kino clan na akahamisha maskani mikocheni
  6. D

    Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

    Bro Jay z alimpata mtoto wake akiwa na 42 yrs old kwahiyo omba mungu akunyoeshee mipango yako.katika maisha yako
  7. D

    Mshindi wa BET best international act, Africa ni Black coffee wa South Africa

    NO, THE WINNER IS WIZKID KUTOKA REPORT YA WEB YA DAILYMAIL NEWS
  8. D

    Akifa mama yako mzazi au mke/mume wako yupi utaumia sana? Kuwa mkweli

    Bro! Watu wanachukulia issue ya mama kind simple sana. ...hakuna kama mama na haitoweza tokea
  9. D

    Akifa mama yako mzazi au mke/mume wako yupi utaumia sana? Kuwa mkweli

    Umemaliza kila kitu hilo ndio jibu lake
  10. D

    Picha,Diamond Platnuma na Huu Mkoko Mpya wa Kishua ni Jeuri ya Fedha au?

    fake shoes, fake close fake everything hahahah yeezy 2 red ctober not release yet .. stop wore fake stuff
  11. D

    Mwanaume aliyelelewa na mama peke yake, ni mtu wa aina gani?

    Nikweli nakubaliana na wewe hii ujumbe wako ni kama unanizungumzia mimi kabisa, kwa kweli mimi ni mtu mwenye kupenda vibaya sana hasa nimpate msichana wa chaguo langu na anayejiheshimu nikwamba nilitokea kumpenda msichana mmoja hivi amenipita age for like one year different,Tatizo lake ni kwamba...
  12. D

    Mwanamke Je ushawahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwenye tabia ya upekepeke....?

    mr Bei Mbaya, big up kakak hapo comment yako umemaliza kila kitu i mean umeeleweka sana kaka
  13. D

    Baadhi ya SABABU ambazo huwafanya Wanaume wengi waogope kuingia kwenye NDOA

    A-Town Kaka .. umemaliza yote ,nikwamba uliyo horodhesha yote kuna vipengele ambavyo vinanihusu sana mimi.. kaka big respect
  14. D

    Polisi Yawaonya Wanaokula Hadharani mwezi wa Ramadhani

    Bro, umenichekesha sanaa kaka kunawatu mnajuwa kupambanua mambo, big up bro
  15. D

    Buggati veyron hiyo. Among most expensive cars

    Ace hood na ile buggati sio yake hali shoot video tu, ile ndiga ni ya boss wao big boss birdman aka baby wa cash money
  16. D

    Buggati veyron hiyo. Among most expensive cars

    Ace hood na ile buggati sio yake ali shoot video tu, ile ndiga ni ya boss wao big boss birdman aka baby wa cash monyy
  17. D

    Ni kitu gani hutakisahau ktk ulimwengu wa mapenzi?

    Kaka nimekaa nasubiri hadi watoto wote katika familia yetu wako katika ndoa na wengine wana mahusiano mema ya kudumu mimi pekee katika familia yangu sina husiano wa kudumu wala mtoto sina hadi mdogo wangu anayenifuata ana watoto wawili mimi najitahidi lakini mambo naona magumu kwangu
  18. D

    Ni kitu gani hutakisahau ktk ulimwengu wa mapenzi?

    Mimi bado namaumivu yangu huu ni mwaka wa tano nilikuwa kwenye realitionship kwa miaka miaka miwili kwahiyo jumla ni kama miaka saba ex girlfriend wangu alitoa mimba zangu akawa ataki kuzaa na mimi ikabidi tuvunje uchumba muda ukapita nasikia amezaa na jamaa mwingine na wala hawahishi pamoja...
  19. D

    Nampenda huyu mwanamke kuliko chochote hapa duniani!!

    Kwakeli hii msg yako imenigusa sana mimi ni mmoja wapo wa watoto niliye shuhudia baba akimwazibu mama, akitoka huko kwenye pombe zake usiku kwakeli siku zote naoma sana MUNGU anipatiye chumba,mke ambaye hatonifanya nichukuwe roho na uwamuzi kama wa baba yangu ndio maana mpaka sasa hivi niko...
  20. D

    Utamaduni wa kujisomea, kuelewa na siasa za Tanzania

    kaka uko sawa kabisa na point yako.
Back
Top Bottom