Search results

  1. Supa.engineer

    BoT Saga Unfolding: Ilikuwa Balali auwawe kwa sumu- Fununu !

    Nilifikiri hii threqd ni yq leo, mtukae mkao wa kula.
  2. Supa.engineer

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    Kama ni kweli, basi nchi hii kuna mashetani na watanzania. Unahitaji uhuru kutoka kwa mashetani
  3. Supa.engineer

    Dk. Slaa akamata nyaraka ya siri ya serikali

    mkuu naona umechemka, hii sio nyaraka ya serikali, ni nyaraka ya ccm. Halafu kama ni kitu haramu slaa angekuwa lupango hivi sasa. Hivi huoni kama unafanana na passport ya ccm??
  4. Supa.engineer

    Yupi afadhali

    Wakituzimia wanazimia, akili zao hazifanyi kazi. Wanaposema watakunywa sumu huwa hawatanii.
  5. Supa.engineer

    Kwa Wakubwa Tu na kwa Weekend Tu

    Du ngoja ni design kamtambo awe anasafiri nako, akirudi niwe najua yaliyo msibu.
  6. Supa.engineer

    Kwa Wakubwa Tu na kwa Weekend Tu

    Mimi wangi diplomat
  7. Supa.engineer

    Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

    hapo umesema, ni tatizo ambalo wengi huwa wanalipuuzia.
  8. Supa.engineer

    Hamadi Rashid na Daudi Kafulila, Gongolamboto mwisho wa Lami

    duh!!! Nadhani umekosea thred. Wazo lako ni zuri lakini umechangia thred nyinge. Labda nipe kazi nikutafutie thred uliyo taka kuchangia. HAPA WANAONGEA PURE POLITICS FROM THE GROUND.
  9. Supa.engineer

    IT Project Kwa Vitendo

    ni vizuri kutulia mnapo andika hizi documents, maneno kama etc sometimes si mazuri hasa inapo bidi kuwa na list ya vitu kamili. inabidi uchambuzi wa kina,kulingana na hali halisi ya hapa bongo. mfano, tunatakiwa kujui aian zote za intituion tunazo target, ili isifike wakati kikaja kitu ambacho...
  10. Supa.engineer

    IT Project Kwa Vitendo

    siyo muhimu sana, kwa wazoefu, lakini anatakiwa kufuata taratibu za hii project.
  11. Supa.engineer

    IT Project Kwa Vitendo

    Your thing is cool, just put description to make us know if something is missing. :clap2::clap2:
  12. Supa.engineer

    Mwanaume mbunifu hapati shida

    ngoj nakuja niwape technique ya kiufundi.
  13. Supa.engineer

    : Jinsi ma-engineer wanavyotongoza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    mmmm, jamani huyu sio engineer, ni mathematician. Ma engineer mistari yote hiyo ya nini. Tunaangalia zaidi performance, time constraint. One line 2 phrases is enough. Melezo hayahitajiki michoro tu inatosha. Ukipita tuu karibu na demu, mwenyewe atajua nini kinaendelea.
  14. Supa.engineer

    Mke na pombe, wanaume mnashauri nini????

    wamevamia, sio mahali pake. juice na vojoti labda vinaweza vikawaweka sawa. Hii nafikiri pia kuna tofauti ya ubongo.
  15. Supa.engineer

    Naomba kubadili jina

    botombitombi???????????????????????
  16. Supa.engineer

    Job opportunity

    Thank you for your interest smati . We will get back to you soon.
  17. Supa.engineer

    Job opportunity

    POSITION: NOC ATTENDANT. CATEGORY: TELECOMMUNICATION, ENGINEERING, IT NUMBER OF POSITION: 1 ROLE: Supervise and monitor performance of Network Operation Center (NOC) to ensure that team, department, and company goals/expectations are consistently met. SKILLS 1.Excellent...
  18. Supa.engineer

    Waziri Mkuu anapotangaza Pombe

    sioni kama anafanya chochote cha kumsaidia mkulima wa tanzania. only nyerere and sokoine succeded, the rest ulaji mtupu.
  19. Supa.engineer

    Do we have any decision support system in tanzania ?

    Nawapongeza wote hapa juu. hizi ndo topic za kuongea hapa.
  20. Supa.engineer

    Tabia hizi zinanikera!!!!

    Sio wewe tu, utafikiri umeona moyo wangu. ila iyo nyekundu afadhali nikae gerezani kuliko kuishi na mtu mwenye hahako katabia.
Back
Top Bottom