Search results

  1. SILVANUS MUMBA

    Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina?

    Kama upo Arusha, Please Tembelea AICC Office zetu ziko Ngorongoro Wing 2nd Floor No 239, Sisi tunafundisha kwa kutumia Proffesional Teachers walio pata mafunzo ya kufundisha Lugha hiyo, kwa Modules zote... ukifanya vizuri kama upo chini ya Umri wa miaka 34 utapata Scholership Nchini China kwa...
  2. SILVANUS MUMBA

    Fursa ya Kujifunza Lugha ya Kichina

    Kampuni ya Hadithi Zetu Limited, Iliyoko Arusha Tanzania AICC Ngorongoro wing office no 239 Inakuletea Mafunzo ya Lugha ya Kichina, yatakayo anza Tarehe Sita August 2018. Mafunzo haya Ni ya Muhimu kutegemea Nchi yetu ni Nchi ya Viwanda na Wawekezaji wengi sana kwa sasa ni Wachina, Changamkia...
  3. SILVANUS MUMBA

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    kumbe alikuwa Mwana mapinduzi, rest in peace Sitta tutakukumbuka
  4. SILVANUS MUMBA

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Kumbe aliitingisha Serikali ya Hayati Baba wa Taifa, kweli Sitta mwana Mapinduzi, A rest in Peace ... mbele yake Nyuma yetu...
  5. SILVANUS MUMBA

    Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"

    Kiukweli Bado sana Tanzania, Yule mzee wa watu Mnyenyekevu Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa anatukanwa sana tu, lakini sijawahi kusikia Mtu kafunguliwa shitaka... hehehe Tunapaswa kujiassesssssss
  6. SILVANUS MUMBA

    Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    NA MIMI NINAMPANGO WA KUTOKA NJE YA OFFICE YANGU KWASABABU BOSI WANGU AMEKATAA KUNISIKILIZA
  7. SILVANUS MUMBA

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    JIPU NILILO NALO MIMI NI ASKALI POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MKOANI MBEYA, NJIA YA KUTOKEA MBEYA MJINI KUELEKEA CHUNYA. WAMEKUWA WAKIKUSANYA SHIRINGI 5000 KWA KILA GARI INAYO PITA NA KILA KITUO AMBACHO TRAFIKI HAO WANASIMAMA. KUTOKEA MBEYA MJINI KUNA VITUO VINNE, YAANI ISANGA, KAWETELE...
  8. SILVANUS MUMBA

    Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Pamoja na Kasoro nyingi ambazo zimekuwa zikijitokeza hapa na pale kutokana na ubovu wa Serikali yetu hii ya Awamu ya Tano, lakini hili la Kupuuzia mambo ya msingi especial suala la Huyu Naibu spika kutaitia Doa kubwa sana Serikali yetu Pendwa. Hofu yangu ni kuwa Budget inayo pita sasa...
  9. SILVANUS MUMBA

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    POLE SANA, MIMI NIKUAMBIE USIACHANE NA MUMEO... TENA INAWEZEKANA YEYE ANA AFADHALI KACHUKUA MDOGO AKO, CHA MSINGI WASAMEHE KISHA MDOGO WAKO ARUDISHWE NYUMBANI. ILA UMESHA FANYA MAAMUZI, UMESHASEMA HUJISIKII KUISHI NA MWANAUME HUYO, UNADHANI SISI TUTAKUSHAURI NINI?
  10. SILVANUS MUMBA

    Mrema amuomba Magufuli atimize ahadi ya kumpa kazi kama alivyomuahidi kipindi cha kampeni

    Sasa Mzee wetu, nenda Kapumzike sasa nguvu hakuna tena, mbona umesha isha sasa
  11. SILVANUS MUMBA

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Awali ya ya yote, natumaini muwazima wa Afya tele, na kila jambo linaendelea kama Mungu anavyo tufanyia wepesi. Niwapongeze katika kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za maendeleo ya Nchi yetu ya Tanzania, lakini pia niwashukuru Wahisani na Marafiki zetu, Nchi kama Uingereza, Japan, Marekan...
  12. SILVANUS MUMBA

    Bado sijaona sustainable development in Tanzania

    Awali ya yote niwasalimu na kuwatakia Pasaka njema, Ndugu zangu jamaa na Marafiki nyote, mlioko Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania. Ni matumaini yangu kuwa nyote mko sawa, na mimi kwa unyonge wangu lakini na Fikra zangu pevu nasema niko “NGANGARI”. Leo niliwiwa kuifuatilia report juu ya...
  13. SILVANUS MUMBA

    Vipaumbele vitatu vya Serikali ya Magufuli

    KWA UPANDE WANGU KUNA VITU AMBAVYO WATANZANIA WALITAKA KUONA. KWA ZILE SIKU 100 AMBAZO ALISEMA ANGETATUA. 1. STRATEGIES ZA ELIMU BURE, SIO UNA EMPLEMENT BILA KUWA NA MIPANGO MIKAKATI YA KUENDELEZA JAMBO HILI 2. STRATEGIES ZA KUWAINUA WASANII, WA TANZANIA KUANZIA BONGO FLAVOUR MPAKA BONGO MOVIES...
  14. SILVANUS MUMBA

    Mkasa wa kusisimua: Nilimsababisha Mateso Mke wangu

    Kama ni Historia ya kweli basi you are lucky but kama ya uongo nenda katunge vitabu kama vya shigongo
  15. SILVANUS MUMBA

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    Umevamiaje mtu kwenye whatsapp
  16. SILVANUS MUMBA

    Watanzania wanahitaji raisi mwenye sifa hizi....

    Tuwape Hongera wana CCM na Watanzania Wote Kwa walioshika vipi mbalimbali vya Ubungo udiwani na Uraisi... Lakini PONGEZI ZA PEKEE KWA UPINZANI KWA KULETA CHANGAMOTO KUBWA KWA CHAUMA TAWALA KWANI wamependeza vichwa vingi Bungeni na kupunguza Vilaza vingi kutoka CCM hatutegemei Vigelegele kwenye...
  17. SILVANUS MUMBA

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Nimetoka kununua Kitalu cha Mungu Mbeya hapa Tayari kwa kuanza kilimo
  18. SILVANUS MUMBA

    Stop Order mchakato wa uchaguzi wote Tanzania na Court intepretation

    Watanzania tufikie Hatua tuact kama watu wenye akili Timamu bwana, Kwenye mambo serious yanayoshika interest ya nchi munafanya masihara ya kipuuzi? hivi katika hali ya kawaita Zanzibar ni Nchi? je Ina mamlaka kamili kama nchi? je Vyombo vya Zanzibar viki fanya maamuzi hayawezi kuathili Tanzania...
Back
Top Bottom