Search results

  1. josegorofani

    Askofu Frederick Shoo: Si sawa kwa Chama cha Upinzani kutukana Chama Tawala

    Akili za BAVICHA zinasikitisha na siku za huvi karibuni wamekuwa ombaomba kama Yanga.
  2. josegorofani

    Tukio la UVCCM Taifa la kumuunga mkono na kumpongeza M/Kiti wa CCM na Rais Dkt. Magufuli

    MAFISADI NA WEZI WOTE WAKAMATWE HARAKA NA KUSHUGHULIKIWA
  3. josegorofani

    Tukio la UVCCM Taifa la kumuunga mkono na kumpongeza M/Kiti wa CCM na Rais Dkt. Magufuli

    Inapendeza Hongera UVCCM maana mmekuwa mbele mbele kweli kweli...... Pongezi za Dhati ziende kwa Watanzania waliompatia kura na kumchagua kuwa Rais Magufuli
  4. josegorofani

    UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

    Bado sijamuona wakuing'oa CCM wapinzani wote ni wazandiki na nimegundua wanategemea pesa za CCM kuiondoa CCM #WatashindwaTu
  5. josegorofani

    UVCCM ni wazalendo au wahalifu wa Taifa hili?

    SIWAONI KABISA BAVICHA AU WAMEJIUNGA KIFURUSHI CHA TUMENUNA
  6. josegorofani

    UVCCM ni wazalendo au wahalifu wa Taifa hili?

    MKIKUTANA NAE NJIANI MPENI POLE NA MWAMBIENI MSHAURI WA CHAMA CHAO ANATEKELEZA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI :mad::mad::mad::mad: CCM sio wa spot spot :p:):)
  7. josegorofani

    UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

    Hii ni point isipuuzwe hata kidogo.
  8. josegorofani

    UVCCM ni wazalendo au wahalifu wa Taifa hili?

    Hivi huyu msaliti yupo?
  9. josegorofani

    UVCCM ni wazalendo au wahalifu wa Taifa hili?

    BAVICHA wamepotelea wapi???mbona sijawasikia hata kidogo au Chama chao kimekosa miundombinu kwa vijana? Chadema wamefail kweli maana wao ndio walitakiwa kuwa washindani wa UVCCM katika kutengeneza Vijana wazalendo, sasa kazi ya kutengeneza Vijana wazalendo imekuwa ya UVCCM pakee.
  10. josegorofani

    UVCCM ni wazalendo au wahalifu wa Taifa hili?

    Nina Imani majibu ya Ndug Shaka wa UVCCM kwenye Magazeti ya leo yamekutoa pangoni Hivi BAVICHA wapo wapi?
  11. josegorofani

    Kwanini kumekuwa na Msukumo mkubwa kuhusu ununuzi wa hisa za vodacom ??

    Ubinadamu ni kazi sana, eeh Mungu tusaidie
  12. josegorofani

    Kwanini kumekuwa na Msukumo mkubwa kuhusu ununuzi wa hisa za vodacom ??

    Mbona unatoa povuuuuu kiasii hiki?? Mbona bongo movie aisee Tanzania baadhi ya watu mnatudharirisha kabisa
  13. josegorofani

    Hisa zamfikisha mwanandoa mahakamani

    Changamkia fursa na wwe leo maana siku imebaki leo tu.
  14. josegorofani

    Tangazo! Tangazo! Kwa wanunuzi wa hisa za Vodacom

    inamaana ulikuwa haujui kwamba ukinunua hisa maombi yako yanapokubaliwa unakuwa mmiliki??:rolleyes:o_Oo_Oo_O
  15. josegorofani

    Msisimko wa uwekezaji na vodacom Tanzania.

    Ila ukiamua kuwekeza inalipa sana utakapo kuwa mjanja na mvumilivu maana faida yake ni kwa muda mrefu kidogo.
  16. josegorofani

    Msisimko wa uwekezaji na vodacom Tanzania.

    Hapana aisee inategemea na faida iliyopata kampuni kwa kipindi hiko. Na faida ni kwa kila kipande then utajumlisha ujumla wake.
  17. josegorofani

    Msisimko wa uwekezaji na vodacom Tanzania.

    Tatizo mtandao mingine wanaangalia mifuko yao peke yao hawathamini Wateja wao na hawana lengo la kuimalisha maisha yao ya baadae.
  18. josegorofani

    Hisa zamfikisha mwanandoa mahakamani

    Wanawake ving'ang'anizi sana
  19. josegorofani

    Siri ya Utajiri wa Vodacom Tanzania watajwa

    Hisa za Vodacom zipo tofauti ungelikuwa na uwezo wa kuwauliza matajiri waliokuwa wanawekeza peke yao watakupa matokeo chanya. Naamini hii kwetu ni fursa tusiiachee.
  20. josegorofani

    Siri ya Utajiri wa Vodacom Tanzania watajwa

    Acheni kuwavunja moyo hawa waliothubutu kuuza hisa zao kwa wananchi wote hakika mimi naona nifursa kwetu #WekezaNaVodacom kwa maisha ya baadae.
Back
Top Bottom