Search results

  1. yegella

    Mikutano ya Siasa Ingekuwa Huru, Rais Magufuli Angekuwa Hoi Kisiasa

    Yaani kusingekuwa na zile sheria sijui za mitandao, za vyombo vya habari halafu aruhusu siasa za majukwaani kama katiba inavyo ruhusu yaani aache udikteta haki sipati picha...
  2. yegella

    Nini maana ya kuingia na watoto uwanjani?

    uko sahihi, huwa wanalipia hata mwaka mmoja kabla....
  3. yegella

    Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

    Moderator, Mod 5, Mod 4, Mod 1, Mhariri huyu siyo mwezetu naomba atendewe haki yake
  4. yegella

    Rufaa ya mchezaji Langa Lesse Bercy wa Congo Brazzaville

    Hii ni ishara njema kwa Watanzania
  5. yegella

    Meya Bora kupokewa leo Mchana akitokea Musoma

    Leo saa 9:00 mchana wakazi wa jiji la Arusha Mjini watampokea Mhe. Kalist Lazaro akitokea Musoma alikotunukiwa tuzo ya meya Bora kutoka jiji la Arusha Mjini, Mapokezi yatafanyika karibu na ofisi ya Tanapa makao makuu wananchi mnakaribishwa ..Hongera jiji la Arusha, Hongera Chadema, hongera...
  6. yegella

    Usafiri upi mzuri wa kutoka Moshi kwenda Mbeya?

    Kama ulivyoshauriwa hapo juu usafiri wa uhakika Arusha - Mbeya ni Hood
  7. yegella

    Usafiri upi mzuri wa kutoka Moshi kwenda Mbeya?

    chakii kwani ndiyo Mara yako ya kwanza kusafiri kwenda mbeya? na kushauri subiri ndege za baba jesika zianze kazi...[emoji1] [emoji1]
  8. yegella

    Simba & Yanga Special Thread

    Powa mkuu...
  9. yegella

    Simba & Yanga Special Thread

    msimu uliopita ndiyo maana yupo kiiza, kesy, Mgosi, Majavi, yule beki rasta ambaye hayupo pia simba pia msimu huu hatutumii jezi za aina hii...
  10. yegella

    Simba & Yanga Special Thread

    Zinaumiza macho Mkuu..
  11. yegella

    Klabu ya Simba yatoa fursa kwa Mawakala Mikoani kuuza vifaa vya Simba

    timu kubwa na mipango mikubwa...
  12. yegella

    Simba & Yanga Special Thread

    Hujui hata timu inayoongoza ligi...
  13. yegella

    Simba & Yanga Special Thread

    badirisha font color...
  14. yegella

    Jamal Malinzi anakula na nani?? Geita wameapa kwenda "Kuhiji" Chato

    upuuzi mtupu, yaani mtu anakwapua pesa tu, anaendesha shirikisho kama familia yake halafu unasema haliingiliwi...
  15. yegella

    Nimekatwa PAYE tsh. 135,000, Je makato haya ni mpango wa kulipia deni la Serikali?

    utaitwa kwa uchochezi...[emoji1] [emoji1]
  16. yegella

    Neno la Nyongeza: Tatizo la ATCL Halikuwa Ndege!

    Kwani tumbua tumbua imegota?
  17. yegella

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    mnangngania vitu ambavyo hamna uwezo navyo...
  18. yegella

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    weeeeee..kasha waambua wafanye kazi
  19. yegella

    Mhere Mwita, kilichomuua Mawazo unakijua hiki hapa

    Kwani Magu alishinda?
Back
Top Bottom