Search results

  1. L

    Ebwana eheee Yamoto wawasha moto jana London !NOMA SANA

    Band gani iliwapigia hao yamoto?? Live siyo muziki wa CD mkuu.
  2. L

    Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

    Kwetu bukoba hatuchagui, tunagegeda tu...
  3. L

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Diamond analipwa awards sasa kutokana na dawa za kulevya alizowasaidia kusafirisha. Awards hazitolewi hivi hivi, kwa nyimbo gani za diamond??? Mdogo mdogo?? That ----!!?
  4. L

    Audio: Forever - Lady Jaydee ft Dabo

    Ni copy ya wimbo mwingine..
  5. L

    two prostitutes and one gayboy

    8 years old son asks her dad?????
  6. L

    90's Jamz

    Mkuu unaweza post ngoma zilizotamba ktk clubs zetu hapa tanzania? Tafadhari 1990 -1992. Siyo hizi zilizotamba nchi za magharibi bali zile madj wetu walizokuwa wanapiga clubs bila kujali zipo ktk chart au la...
  7. L

    Chid Benz apandishwa Kizimbani Jijini Dar leo kwa shitaka la kukutwa na madawa ya kulevya

    Huyo samaki mchanga..wawakamate akina ridhiwani kikwete wanaobebesha watu mizigo mikubwa ya madawa. Mzigo wa Tshs 40,000 ni kuvuta mwenyewe. Wanaweka kesi kubwa wakati kule uingereza kiasi hicho hukamatwi na polisi yeyote. Gharama za kumsomea kesi hiyo leo ni mara 10 ya thamani ya madawa...
  8. L

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

    Sizitaki mbichi hizi!! Hahahahha demu mchafu kama watoto wote wa fisadi tanzania. Ingekuwa siku za Edward Moringe Sokoine fisadi wote wangenyongwa......
  9. L

    Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

    Kubalini, muziki wa CD jukwaani umeisha pia. Hata T.I hamna kitu jana. Walimuhehimu bila kumzomea...
  10. L

    Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu

    Lakini so mnajipeleka wenyewe kwenye mashow ya yasio na kichwa wala mguu. Mi huwa siendi huko..
  11. L

    Alikiba yuko wapi

    Hizo si nyimbo, kiba kaisha kubalini. Atatokaje na wim o wa mtu wa kuiga...kimaso maso thats bullshit**
  12. L

    Adam juma na kichupa kipya cha richie mavoko

    Video please...sio maneno tu..
  13. L

    Wasanii wote wanaoshiriki Fiesta wanalipwa laki tano kila mmoja

    Majungu tu hapo. Wabongo maneno bila ushahidi siku zote..lete ushahidi basi...
  14. L

    Lupita Nyong’o In Hot Bikini: 17 Must See Rare Photos

    Mbona mbovu sana. Mm naona anapandishwa chart ya kulazimisha. Hapo hamna kitu. Yaani angekaa uchi sidindi.
  15. L

    Hii inakuaje?

    Hapo jibu ĺake ni hili: madaktari wa hospitalini wamesomea elimu ya kupima na kugundua mtu anaumwa nini. Lakini hayo mambo mengine ktk swali lako ni nguvu za giza ambazo hatufundishwa shule ili kujifunza lazima ujue yafuatayo: uchawi ni nini, mashetani/jini ni nini na...
  16. L

    Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya hali ni mbaya.

    Oo kyela. Hapo hakuna siasa ni utekelezaji tu. Maana naona gwanda la kijani hapo...
  17. L

    Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??

    For real sugu alipokuja dar alikuwa mshamba sana. Dar young mob walipompa deal ndo akawa maarufu. Yote tisa lakini ukweli unabakia pale pale kuwa sugu siyo mmoja wa waasisi wa hiphop bongo. Professor jay yes alikuwepo enzi zile ingawa alianza rasmi miaka ya 1990. Sambamba na Waasisi wa madj...
  18. L

    Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??

    Mkuu Mungu akubariki sana sana kama ulikuwepo siku hiyo. Maana ni watu wachache sana watakuwa wanakumbuka siku hiyo. Akina fresh xe mimi nawaheshimu sana ktk bongo hiphop. Hawa wasanii wanaodai wao ni wahasisi wa hiphop bongo wanatudanganya. Sugu hawezi kuwa muhasisi wa hiphop wakati dar young...
  19. L

    Waanzilishi wa Bongo HipHop/Flava ni nani??

    W.W.A -weusi wagumu asilia, lakini pia kabla yao alikuwepo dika sharp, mukama muganda, con francis hii ni mwaka 1989 pale lang'ata sasa hivi fm sterio...baadae KU kwanza unit wakaja akina nigga one..
Back
Top Bottom