Search results

  1. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Is 300 mafuta kaka changamoto ndio mana tunakimbia huko
  2. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Kwa sasa natumia lexus is200 mkuu ina iyo handbrake ya kuvuta sasa nataka kutest new technology niachane na mikweche ya kizamani
  3. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Assante mkuu maana nimeona zipo za Singapore nyingi ni petrol na za japani nyingi ni diesel pia bei za japan zimechangamka sasa niko kwenye kufanys maamuzi
  4. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Wadau samahani tena nauliza kuna utofauti kati ya mazda atenza na mazda 6 mana naona beforward wamezitofautisha
  5. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Iyo handbrake ndio sababu kubwa kukimbia 2014 mkuu, kama bei hazitopishana sana ntachuku 2016
  6. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Mkuu assante sana natunai umenipa nguvu ya kuchukua hii chuma naona nichukue model ya 2015 assante pia natumai hii kitu itakuwa na comfort nzuri tu
  7. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Assante mkuu je kati ya petrol na diesel unaweza kunipa utofauti wake kwa liter 1 ya mafuta inaenda km ngapi?
  8. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Assante sana mkuu kwa ufafanuzi je mimi natembea umbali wa km 30 kwenda na kurudi kilasiku napaswa kudelete iyo dpf?
  9. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Assanteni sana wadau, naona nichukue hii sasa na je vipi iyo dpf kama sijaiondoa changamoto zake nini haswa
  10. Kapepo

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

    Wakuu wazima humu, naomba ushauri wa kitaalam kwenye gari hii diesel model. Kuhusu ubora na changamoto zake
  11. Kapepo

    Xtrail, Forester au Outlender zote 2013

    Wataalam naweza pata uchamhuzi wa kitaalam ili nijuie nachukua ipi
  12. Kapepo

    Xtrail, Forester au Outlender zote 2013

    Naomba ushauri nataka kuchukua moja kati ya hizo sasa bado nafanya utafiti nikae wapi. Naombeni mwongozo wadau
  13. Kapepo

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwongozo kigamboni
  14. Kapepo

    Gereji ipi wanatoa huduma ya 'vinyl wrapping' kwa hapa Bongo na gharama zake zipoje?

    Habari wadau, Naomba kujua gereji ipi wanatoa huduma hii kwa hapa Bongo na je gharama zake zipoje nimetokea kuvutiwa nataka nifanye kwenye gari yangu.
  15. Kapepo

    Lexus is200 fuel consumption

    Picha: Lexus is200 Habari wadau, Naomba kujuzwa matumizi ya mafuta kwa Lexus is200 kutoka Gezaulole to stesheni posta kwa week Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom