Search results

  1. herry msagati

    Rais Magufuli anafanya siasa za maendeleo bila kubagua

    Mataga na mazombi ndugu moja
  2. herry msagati

    Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Vijana wa lumumba vipi mbona mnakosa ustahimilivu[emoji16]tulieni tumpokee lisu and then hayo mambo mengine yaendelee.
  3. herry msagati

    Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Ikifikia hatua hiyo sisi wengine itabidi tuombe uraia wa nchi za jirani maana vurugu zitakazo kuja mbeleni hatutaziweza
  4. herry msagati

    Uchaguzi 2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Ushabiki mwingi kuliko analysis. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. herry msagati

    Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

    Kama post za vijana wa kitanzania ndio za hivi basi ni msiba
  6. herry msagati

    Huyu atakuwa si mwenzetu(male)

    Napita ntarudi baadae
  7. herry msagati

    Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

    Tusitoe mbinu bado mapema simnayajua majizi haya yataandaa mikakati mapema
  8. herry msagati

    BAVICHA Muheza, Tanga: Kusoma ' Albadili' kwa waliompiga Mhe. Lissu risasi

    Mbona unaongea kwa sauti ya chini mkuu kulikoni? Kama huusiki usiwe na pressure.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. herry msagati

    UVCCM kuchangia mil 7 matibabu ya Lissu bila kamera,nimeamini kuna utu baada ya siasa.

    Unafiki tu huo mbona kamanda Mawazo alipouliwa hawakuchanga? Wapeleke huko lumumba wakagawe kwa omba omba. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. herry msagati

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Yaani wewe ni ziro brain kbs waambie waliokutuma upost hawatutoi kwenye reli time will tell. Siku hazigandi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. herry msagati

    Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

    Mhalifu wa kwanza wewe, umewaona hao tu mbona kuna watu wamepotea husemi, kuna mtu anaitwa mawazo aliuliwa kinyama hakuna kilichoendelea. Pumba zako hizi peleka lumumba kwa mzee wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. herry msagati

    Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

    We akili yako mbovu sana sio lazima wote tukubaliane na anachofanya rais, binadamu tumeumbwa tofauti unaweza kuwa mkiristo me muislam wewe mgogo mimi msambaa wewe chama zilipendwa mimi chadema mpaka hapo angalau hata kama hauna shule utakuwa umeelewa kdg kwann hatuko sawa. Sent using Jamii...
  13. herry msagati

    Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

    Upoyoyo huo mbona manara tulimchangia na hakuhama? Basi na mrema arudi chama cha zamani ccm maana ndio waliomtibia..... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. herry msagati

    Tuwe wakweli, bila DIAMOND PLATNUMS, bongo flava ingekuwa kimataifa haipo/ imekufa kama bongo muvi.

    Yaani hata kuandika hujui sijui una matege ya mikono? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. herry msagati

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Kwani uzalendo ni lazima? Kama hapa ndani hamuendeshi kizalendo kila siku mnatupiga, mnatufunga alafu mnataka tuwe wazalendo. Shubamiit mmemwaga ugali tumemalizia ugali [emoji23][emoji23][emoji23] hizo habari ulizopost ni nyepesi nyepesi tu hazina ukweli wowote buni kingine Sent using Jamii...
  16. herry msagati

    VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

    Hizi habari zenu za udaku pelekeni kwa vilaza wenzenu facebook huko Sent using Jamii Forums mobile app
  17. herry msagati

    Tetesi: IRINGA: CHADEMA kufukuza madiwani 6

    Nawashangaa vijana wa lumumba mnatapatapa sana kutunga uongo kila siku, me nipo iringa hayo mnayoyasema hayapo kabisa tumetoka kwenye mkutano juzi tu na madiwani wote walikuwepo sasa huu uzushi wenu sijui mnaimendea ile nafasi ya uwaziri wa nishati na madini? Punguzeni pressure kwa hali hii...
  18. herry msagati

    Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

    Ni aibu kwenye jukwaa kama hili kuja ku discuss vitu vya ovyo kama hivyo, shame on you tatizo ni smart phone kuwa cheap. Hizi mada zenu pelekeni facebook kwa wajinga wenzenu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom