Search results

  1. K

    Dr.Kitila Mkumbo Msomi aliye filisika mawazo

    Wana board nimekuwa nikifuatilia maandiko na kauli za daktari huyu wa filosofi tangu akiwa CDM na Baada ya kufukuzwa na chama chake kwa kushiriki uasi ulio buniwa na zitto Kabwe, Nidhari maandishi yake na kauli zake hazijawahi kunishawishi na kuona kwamba fikra hizo zinatoka kwa msomi wa karne...
  2. K

    Maisha yamenishinda nahama mjini

    Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana. Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya...
  3. K

    Nyumba inapangishwa-88 Morogoro

    Napangisha nyumba ipo nyuma ya uwanja wa maonyesho ya wa kulima nanenane Morogoro, nyumba ina vyumba vitatu vya kulala,jiko, store, dining, na sebule. Nyumba ina fance na miundo minu mizuri ya maji kutoka kwenye bomba binafsi- private pipe na reserve tank la lita elfu tatu. Nyumba nzuri ya...
  4. K

    Masha, Jenerali Ulimwengu wazichapa

    Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
Back
Top Bottom