Nyumba inapangishwa-88 Morogoro

Nyumba inapangishwa-88 Morogoro

KERENG'ENDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
398
Reaction score
31
Napangisha nyumba ipo nyuma ya uwanja wa maonyesho ya wa kulima nanenane Morogoro, nyumba ina vyumba vitatu vya kulala,jiko, store, dining, na sebule. Nyumba ina fance na miundo minu mizuri ya maji kutoka kwenye bomba binafsi- private pipe na reserve tank la lita elfu tatu. Nyumba nzuri ya kisasa bei shilingi laki tatu kwa mwezi unalipa kwa mwaka mmoja unapo ingia kwenye nyumba. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715202929
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom