Search results

  1. I

    Mtu wa Kwanza Duniani Ambaye Hana Jinsia

    What about biologically
  2. I

    Wanaume ni wavumilivu kuliko wanawake

    Nadhani kinyume chake ni sahihi kwa kadri ya huo mtazamo wako ulivyo kaa..
  3. I

    OCD ampiga risasi mhadhiri SUA

    Hata mimi najiuliza mara mbilimbili sipati jibu, namna gani risasi ipasue tairi then iende makalioni.... mmh!
  4. I

    Mwanamke ajifungulia kwenye pantoni muda huu!!!

    Yawezekana alikuwa safi kabisa kabla ya kuanza safari, lakini hali ya bahari ilichangia kwani watu wengi maji ya bahari huwatatiza ki-hisia
  5. I

    Mwanamke ajifungulia kwenye pantoni muda huu!!!

    Mmh ndugu, pata tu picha akilini..
  6. I

    For the first time to like this

    Kwa mara ya kwanza kuvutiwa na kipima joto from ITV ni leo. Watu waliotoa maoni ya kipimajoto "je wananchi kuwapiga wabunge wao mawe, ni suluhisho la matatizo yao?" 71% wamesema NDIYO. Sasa nimeanza kuamini kuwa watanzania tuko macho!
  7. I

    Bw. Hamis Dammbaya vipi bhana!!

    Yap kama kipindi hicho hakikuwepo tz, basi alivoanzisha ni vizuri ili tujue bhanaaa!
  8. I

    Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

    Wanatafuta mbinu za kufanya kazi zao ziuzike, so wana check kwanza watu wanapenda kuona mavazi gani, bado kidogo tutaona na vimini vinavaliwa
  9. I

    Naomba kuuliza

    Labda ana kithembe jamani, anyway tushakuelewa..
  10. I

    Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

    hakuna cha kujiheshimu hapo, sasa kama unazaa na mtu ambaye si mume wako means unaiba wa mwingine. so in the same boat of wezi..
  11. I

    Hivi nyie kina dada mna nini?

    unahakika ya usemacho !
  12. I

    To dem rastafarians

    every part present in human body has got its function, if you have it then what is it for! Eat meat and let enzymes work for their role..
  13. I

    Swali kwa aliyepotelewa laptop mlimani city

    hata wadada na wao wengine ni wezi pia...
  14. I

    Nyoka Afariki Baada ya Kugonga Matiti ya mrembo

    kwa maana hiyo na wao wangefaidi kwa muda tu ili wafe kama wangukuwa majoka, raha ya short time then you die!
  15. I

    Mishakaki ya Paka

    Huyo jamaa kweli mjasiliamali, haangalii hata athali kwa raia wengine!
  16. I

    Eti huduma ya babu ambilikile loliondo moja ya ilan za ccm 2010/15??

    Ni vizuri kama jina lake likiwekwa mezani ili tumjue tusije jadili hearsay!
  17. I

    Dowans,Dowans

    Utata mtupu.. afu ikiwashwa deni linaongezeka au tunaanza kuwalipa bili mpya
  18. I

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Kuandika tu shida ulikurupushwa kuandika inaonekana.
  19. I

    Nampenda bt naogopa kumwambia!

    chelewa chelewa utakuta mwana si wako...
  20. I

    Michezo utotoni

    Nakumbuka nilipenda mno kuwa baba wakati huo namchagua nani awe mama. Acha tu.. Utoto mtamu jamani, ndo maana ambao hawakupitia michezo ya utoto wanarudia ukubwani ili watimize steji za ukuaji
Back
Top Bottom