Search results

  1. Upepo wa Pesa

    Serikali Kujenga Maabara ya Kisasa ya Upimaji wa Sampuli za Madini Nchini

    Uchaguzi ukikaribia huwa serikali inatoa ahadi nyingi sana na nyingine ambazo haiwezi zitekeleza.
  2. Upepo wa Pesa

    Tupeane mbinu za ku-save: Unaweza kurudi na posho za kazi za field nyumbani?

    Mimi nnachofabyaga ni hiki. Kila pesa nnayopata natenga 50% ya matumizi ya kawaida, 30% uwekezaji kama na 20% savings! Hizi % zote zina acc yake na ikiingia tu nazi deposit bila kungoja
  3. Upepo wa Pesa

    Shilingi ya Tanzania ni miongoni mwa Sarafu Dhaifu zaidi Afrika. BoT Mnafeli Wapi?

    Yao iko chini kwa ajili ya viwanda wewe yako iko chini kwa ajili gani? Viwonder?
  4. Upepo wa Pesa

    Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Kwenye uchumi hii inaitwa "oligopoly market". Mnakaa mnakubaliana then kila mtu anatakiwa kuheshimu maamuzi ya kikao. Ndio wanavyofanya mitandao ya simu. Siku ukiona Voda au airtel kapandisha bei jua lazima wengine wafwate.
  5. Upepo wa Pesa

    Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Sawa tutathibitisha ukiweza kataa sound sio kwa haya maneno empty hapa
  6. Upepo wa Pesa

    Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Hapo mtu akija akipiga sound tu jamaa kaula wa chuya dadeki
  7. Upepo wa Pesa

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Diaspora hao hao ambao wamenyimwa uraia pacha? Au kuna wengine?
  8. Upepo wa Pesa

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Ndio uone matatizo ya waafrika
  9. Upepo wa Pesa

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Basi hata hulo daraja rais wao awajengee
  10. Upepo wa Pesa

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Kwa hiyo ccm ni chama cha mafisadi?
  11. Upepo wa Pesa

    Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    Unaweza nipa m hanganuo wa hiyo "processing fee" mkuu?
  12. Upepo wa Pesa

    Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    NI bank karibia zote zina huo mfumo
  13. Upepo wa Pesa

    Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Rc kada wa ccm Ras kada wa ccm Dc kada wa ccm Ras kada wa ccm Ded kada wa ccm Alafu ongezea.. huwezi kuwa mkuu wa kitengo kama we sio mwanachama wa ccm. Je unatarajia nini hapo?
  14. Upepo wa Pesa

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Bora yeye ana fight mwenyewe kuliko Israel anayengoja ruhusa ya mume wake USA ili apigane. Yeye mwenyewe hajiwezi.
  15. Upepo wa Pesa

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Mkuu naona kule Ukraine hali inakua ngumu hata nyuzi za kumsifia zelensky huleti tena.
  16. Upepo wa Pesa

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Yaani marekani ndiye anayeruhusu? Israel mwenyewe hana uwezo?
  17. Upepo wa Pesa

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Utakuta aliyeandika hii sentensi ni mwanaume.
Back
Top Bottom