Search results

  1. winston muga jr

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Ofisi yako Iko wap kiongoz nahitaj Moja wapo ya hizo mashine .
  2. winston muga jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio Iko vp home team to win either half
  3. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Device yangu haiko compatible na Hilo game inaniambia , ni INFINIX HOT 10i Kwan inataka ,device yenye uwezo upi ?
  4. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Ok Ahsante sana ,but haitazingua chochote like
  5. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Ya mwaka gan hiyo FM MOBILE
  6. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Sawa nmeelewa Ila mie mpenzi wa PlayStation , Nina FOOTBALL HANDHELD 15 mwenye simu Ila Lina fake names naomba unisaidie nfanyeje lier na real names nmedownload oceansofapk
  7. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Ni shs ngap Xbox Series x na used shs ngap pamoja na mpya , kwa nn Xbox na sio PLAYSTATION
  8. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Desktop yako inasukuma kila heavy games ? Na unanishaur ntafute aina gan ya mashine
  9. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Sawa ahsante sana kk. Ila vp nkitafuta PlayStation 4 hata fat itakuwa poa ,Ila hofu yangu mwisho wa kutoa games za PS4 ni lini maana now ziko PS5
  10. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Ok sawa now unatumia console au PC kucheza games , na PES 2018 au PES 22 itasukuma kwl ?
  11. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Itacheza FIFA ya mwakan gan
  12. winston muga jr

    Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

    Vp na FIFA 22 pamoja na GTA V zitacheza kwl ? Vp kuhusu heavy games
  13. winston muga jr

    Tangazo la kozi za ualimu wa mpira wa miguu jijini Dodoma

    Vp hizo kozi bado zinapatikana ndugu na WA mikoa mingine vp
  14. winston muga jr

    Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu makali nikitembea

    Alovera inapatikana wap maana sehem niliopo hakuna kabisa
  15. winston muga jr

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Na game unalipisha shs ngap ? 500 au 1000 kwa kila mechi nipe details kidogo nampango wa kuanzisha na mie hii niashara npo MORORGORO maana wadau wengine utakuta daa wanataka 500 na sio 1000 kiingilio tabu kwel kwel
  16. winston muga jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Real Madrid 2-6 Man city 2-6 Juventus 2-6 Lyon 2-6 Leverkusen 2-6 Odd #3 hizo
  17. winston muga jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niaje kk naomba unisaidie njia 80% ya kufanikiwa kumla muhind kama wewee naliwa sana naomba saada wako unafanikiwaje
  18. winston muga jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Crotia vs Israel HF/FT X/1 Poland vs Serbia HF/FT 1/1 Romania vs Lithuania HF/FT X/1 jaman pesaa hiyoo mjilipue mnavyoweza asiliamia 100 % See you soon.......
Back
Top Bottom