Search results

  1. dangadunguri

    MATIBABU YA TATIZO LA UVIMBE KWENYE INI(heterogenous mass)

    Salaaam wanabodi. Poleni na kukura kakara za hapa na pale. Mada: Nipo na mdogi wangu amepata tatizo la uvimbe kwenye ini. Alianza kujisikia kama uzito flani kwenye tumbo na baada ya kuona tatizo tukaenda hosp moja kubwa tu hapa town ya private, akaambiwa afanye OGD, na baada ya majibu akaambiwa...
  2. dangadunguri

    Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule

    Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule, ni mfanyakazi wa jwtz kwa mujibu wa kitambulisho cha kazi. Kama kuna mtu anaweza kumfahamu amtaharifu and then aje pm nimuelekeze wapi atavipata. Nimejaribu kupiga namba zilizopo kwenye kitambulisho cha bima hawapokei simu. Kitambulisho cha...
  3. dangadunguri

    Natafuta Fish finder

    Waungwana poleni kwa michakato yakimaisha. Subject iko wazi kabisa natafuta fish finder kwa mwenye information anisaidie. Anisaidie aina zake, soecification zake na bei zake. Zikiwa mpya na used. Je zinapatikana kwa hapa dam/znz? Shukrani kwa watakao weza kutoa taarifa zake.
  4. dangadunguri

    Mdogo wetu amepotea leo mida ya saa sita mchana maeneo ya Kigogo, msaada wenu tafadhali

    Picha hii niya mdogo wetu anaitwa Amina Ally Salehe, ni mkazi wa Kigogo karibu na Msikiti wa Shia, polisi post. Ndugu yetu huyu alipata matatizo ya kuugua na wakati mwingine akili zinachanganyika kwa kiwango kidogo si kuchanganyikiwa kabisa. Amesoma community health, chuo cha Bumbuli Lushoto...
Back
Top Bottom