Search results

  1. mwanansao

    Mnaojua mnaweza kunielekeza hivi tunaenda wapi kuhusiana na hizi biashara

    Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi zimefungwa biashara za machinga sasa nikama zimeanza kutoweka nafikiri tunako elekea siko hivi kuna nini?
  2. mwanansao

    Tabora: Polisi wametumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliokuwa wanadai watoto wao kutekwa

    Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.
Back
Top Bottom