Search results

  1. lolypop

    Kundi la kigaidi la Islamic State (IS) lafanya mauaji nchini Nigeria

    Imekuaje comments zangu zote kwenye huu uzi zimefutwa bila kuambiwa sababu. Na sijatukana mtu. Kuanzia leo nahama jamii forum na funga hii acc yangu. Huku Hakuna uhuru kama zamani. Bila sisi clients wenu jamii forum haipo. Nyie mods bakini wenyewe basi jf
  2. lolypop

    Ole Sabaya hali tete. Aandaliwa Mashitaka mapya, Ushahidi Nje nje

    Mmh kwa mambo aliyoyafanya sabaya ,uungwan angetokeza public aombe msamaha kisha aanze maisha mapya nje ya siasa
  3. lolypop

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Mbona unakuwa mkali soma kwanza hapo👇👇👇 Thread 'Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Russia aelezea namna alivyopambana Ukraine' Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Russia aelezea namna...
  4. lolypop

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Yule mkulima anayekusanya vifaru vya russia bado yupo?
  5. lolypop

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unajua tusiongee kishabiki russia anasababu za msingi kumvamia Ukraine, hata USA wanajua hilo ndo maana watoa msaada tu alafu wanakaa mbali
  6. lolypop

    Gucci waanza kupokea cryptocurrency kwenye maduka yao

    Mnatakiwaga pia mtuelimishe kwamba hizi pesa huzipati cash, yaani tukiona madollah$ hatuwezi kuyatoa tukayashika mkononi. Yaani ni soft money utulie usubiri mpaka wakati utakapofika wakuanza kutumia soft money
  7. lolypop

    Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    huyu dogo kaachiwa kwa kazi maalumu. Walionewa mjipange mmalizane Naye kitaa Hakuna kumuonea mtu huruma
  8. lolypop

    Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

    Huku tunapoendelea wananchi watajikuta wanakero hawana pakusemea. Rais anatakiwa aachie uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa wananchi kuzungumza kero zao. Akiendelea kuwakumbatia hao Tiss n.k wanamdanganya tu nchi inaharibika. Wapiga kura ni hao hao wananchi Huu utishwaji tishwaji umepelekea...
  9. lolypop

    Ilipangwa au ni muda wao ulifika tu?

    Ni ngumu sana, gangster's kids washaanza kuingizwa kwenye system
  10. lolypop

    Rais Samia tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira NSSF na urejeshe fao la kujitoa

    Nssf ni utapeli, kama wapo kwa ajili yakusaidia mbona masharti mengi. Pesa yangu mwenyewe napata tabu kuipata. heri iwe kujiunga ni hiari ya mtu
  11. lolypop

    Jerusalem: Israel yavamia msikiti was Al- Aqsa na kujeruhi watu 40

    Hata Palestine wakipewa ardhi nyingine bado wataendelea kupigana. By mosses kulola
Back
Top Bottom