Search results

  1. Sanja

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Hivi hao wafanyakazi unaowasema hawanunui bidhaa zinazozalishwa na hao wasiokuwa wakulima? Unadhani kibarua huko mtaani huwa anapewa kazi na serikali au ndio wafanyakazi wanaorudisha mzunguko wa pesa mitaani hatimae kwa wafanyabiashara. Kuna bidhaa zilipanda miaka ya nyuma bila nyongeza ya...
  2. Sanja

    Kwanini kanisa linaadhimisha misa siku ya mwaka mpya?

    Mwenye kuelewa aelewe hii.
  3. Sanja

    Ulaji wa data za intaneti tiGo ni aina mpya ya wizi, ufisadi, na ujambazi

    Tigo wamekuwa ni tatizo kubwa,kuanzia dakika za maongezi mpaka messages zinatumika kwa kazi sana, ukiwapigia sasa ni porojo tu.Nimehamia Hallotel,nao nikiona siwaelewi nahamia airtel au ttcl
  4. Sanja

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Wengi wanaotetea ni wanaharakati wanaofanya kazi na NGO,wanaenda na slogan ya anaewafadhili. Mimi nawaunga mkono kupinga viboko lakini wasiishie kupinga tu,watoe na mbadala wake hasa wakizingatia mila na desturi zetu hasa kutii nakufuata ushauri wa wazazi/walezi na walimu. Sent using Jamii...
  5. Sanja

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Kuzuia viboko linaweza kuwa jambo jema iwapo serikali itaacha kulazimisha wasio na vigezo na utayari wa kusoma kuchaguliwa kujiunga na shule. Kuna kundi kubwa la wazazi na wanafunzi wasiotaka kuendelea na shule, tofauti na zamani ambapo ulikuwa ukipewa adhabu yakurudi nyumbani(suspension)...
  6. Sanja

    Matokeo Kidato cha Sita: Uongozi wa shule ya Jangwani kubadilishwa na Walimu wa muda mrefu kuondolewa

    Kinachofurahisha zaidi nikuwa hakujapatikana ufumbuzi wa hili na hakuna hata mpango unao onekana kutatua hili. Tunasubilia matokeo ya form 4 tuanze kushangaa tena. Hivi hii sera ya kila mwanafunzi anaeanza chekechea afike kidato cha 4 na afaulu,wakati hakuna chujio la maana hapo kati unadhani...
  7. Sanja

    Amri ya kukata miti ya upanga uzazi

    Watanzania wengi umaskini wetu sio wabahati mbaya. Hakika akitokea mpuuzi mmoja katika mgongo wa imani akasema ndizi bukoba ukizipanda zinaleta mikosi tutaitikia tu kama mazuzu.
  8. Sanja

    Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

    Nadhani sasa libuniwe tatizo jingine la akili,watu wanatakiwa watibiwe akili.
  9. Sanja

    kama si kweli wanawake njooni mpinge

    Kwa thread hizi,naona akina bushoke wakiongezeka huku wakidhani wanaonyesha upendo. Mimi kufanya kosa hakumhalalishii mke kunikosea,na akifanya kosa nikajua ni serikali ya kichwa changu itakayoamua. Wanaume tuache kulialia,ikibidi anza upya au vumilia kimyakimya.
  10. Sanja

    Kwanini wengi wanaopatana na wazazi na ndugu hudumaa kimaisha, wakati wanaowatupilia mbali ndugu huneemeka?

    Tatizo hilo lipo ila haliwekwi wazi sana. Kwa mtazamo nikuwa ndugu au jamaa za mwenye kipato fulani huwa wanataka wawe na say katika pato lako. Na wanahisi shida yoyote kutoka kwa yeyote utaitatua kwa maelekezo na guidelines zao.
  11. Sanja

    Kusadikika

    Kwa maana nyingine nikutofikili nje ya box ulilomo
  12. Sanja

    Tanzania yafanyia majaribio kufundisha somo la Hisabati na Sayansi kwa njia ya mtandao

    Mwanzo mzuri,inafaa nguvu zaidi ziongezwe hasa kwenye vifaa.
  13. Sanja

    Huyu kumbe ndo Joyce Kiria original!!

    70% ya make up,sijui ndio inaitwa msingi(foundation) atalipia anaeomba out
  14. Sanja

    Massage hufanya mwili kuwa mwepesi na huondoa stress

    Ke wklsyoeikrzeéakeZ s#a
Back
Top Bottom