Search results

  1. Chibati

    Rais Samia Suluhu imulike NHIF

    Nimekuwa mdau muhimu kwenye hii taasisi inayojihusisha na huduma muhimu za Afya yetu watanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia inayopelekea hii NHIF kuwa chaka la kupiga fedha za Serikali,nikimaanisha michango ya wanachana kuwa ni pombe ya ngomani kila mmoja anajichotea tu. Kuna...
  2. Chibati

    Kumbe tukimwandikia Rais Magufuli barua za kumwomba samahani mambo ni poa. Nami nitumie nafasi hii kuomba poo!

    Nimeifuatilia kwa karibu ziara ya Mh Rais JPM kule kwa umachingani na kusikia katika hotuba yake kuhusu wale jamaa wapigaji wa Kangomba. Hawa jamaa waliambiwa mwanzo hawatalipwa kwa maana walikuwa wanawanyonya wakulima wale. Lakini hawa jamaa kwa mujibu wa maelezo ya Mh Rais JPM mwenyewe,kumbe...
  3. Chibati

    Namwona Rais Magufuli katika sura mpya iliyojaa UPOLE,UPENDO na HURUMA!

    Nasema.,namwona Rais JPM mpya mwenye sura tofauti na niliyoizoea kumwona. Nimeona ongea yake jana wakati akiliongela swala la ukusanyaji mapato kwa hawa TRA,na pia sura aliyoionyesha wakati akitoa pole msibani kwa Mh. Peter Msigwa na alivyokuwa anamwita Mh. Lema. Ni dhahiri JPM kuna kitu naona...
  4. Chibati

    SUMATRA hiki kinachoendelea kwa wana Dar es salaam mnakiona?

    SUMATRA haya mateso tunayofanyiwa na hawa Udart sijui kama nyie yanawakuta moja kwa moja. Tafadharini mngerejesha tu njia zilizoathiliwa na usafiri huu mpaka hawa Udart watakapojirekebisha. Maana sasa ni mateso na sio usafiri sahihi kwa sasa! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Chibati

    BANDIDU ni mtu wa namna gani?!?

    Wana bodi naomba kujuzwa maana halisi ya BANDIDU.,maana nasikia kuna JASILI na KAKAMAVU. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom