Search results

  1. smileagain

    Mtaala wa Maria Montessori

    Habarini, Happy New Year Wana Jukwaa la Elimu!! Chuo gani kinatoa kozi za Ualimu wa Chekechea/awali kwa kanda ya ziwa.
  2. smileagain

    Mtoto mchanga kupaliwa mara kwa mara

    Mara nyingi napomnyonyesha anakuwa akipaliwa,na hapo wala simkamulii maziwa zaidi ya kumshikia tu titi ila ndo hivyo anajikuta akipaliwa kwa kweli hili jambo linaniumizaga sana, mimi tu mama yake nikipaliwa huwa nahangaika sana na kuumia, nikimfikiria yeye na udogo wake aisee naumia sana na...
  3. smileagain

    Nimemkumbuka ndugu yangu

    Nataka nikamsalimie ndugu (binamu)yangu ameolewa kama miezi 3 hivi iliyopita,ila nimemkumbuka sana though hatukuwahi kuwa karibu kivile/kuishi pamoja ila najisikia tu nikamsalimie kwake .... vipi ni sahihi au nisubiri subiri muda upite?!
  4. smileagain

    Kiumbe mwanamke, ufanyiwe nini ili ujue unapendwa?

    Mabadiliko! Kwetu wadada ati mwanaume akikufanyia nini utaamini kakupenda kweli na utamwamini at least 50%?! Kwa wanaume, ukimfanyia nini mwanamke wako basi ajue kweli umempenda, coz kuna vitu waweza mfanyie mpenzi wako yoyote tu. But i need to know vile vitu so special yani unafanya kwa...
Back
Top Bottom