Search results

  1. Jeff Albert

    Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Ndo fikra zako wewe hizo ushatapeliwa sana kila sehem
  2. Jeff Albert

    Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Yan hapa haukupaswa kucoment kama syo muhusika umeandika vitu nisivyohitaji by the way nshapata na ishu ipo on discussion
  3. Jeff Albert

    Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    [emoji3][emoji3][emoji3] wewe hapana
  4. Jeff Albert

    Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Mmmhhh Syo kweli unachokisema
  5. Jeff Albert

    Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Kama kuna Mtu humu Jamii Forum anafanya kaz vodacom Nina shida binafsi naomba Ani PM Namba yake kuna Mambo nataka Tuyajenge Yatakuwa na Manufaa kwangu pia kwake.....usipuuze Ujumbe huu
  6. Jeff Albert

    Msaada wenu wana JF: Nahitaji msaada wa laki moja

    Ni Pm namba yako nkupe ila Masharti Magumu sana Maana pesa sikuhizi ni Ngumu ntkaupa Laki moja urudishe 140 kama upo Tayari njooo inbox
  7. Jeff Albert

    Watangazaji wanaochekacheka

    we Mwenyewe kuspel.Majina Ya watu kumbe nawe ni Wale wale
  8. Jeff Albert

    Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    we Ndo Umenena Hawa wengine wananyapia nyapia tu hakuna Bank ambayo watu hawapo Smart
  9. Jeff Albert

    Familia za marehemu Kapteni John Komba na Deo Filikunjombe

    Familia za watu wengine zinakuhusu nini fanya kazi
  10. Jeff Albert

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    ACHA KUPAMBA JUKWAA WEWE ULIPAKIA MIRUNGI SIYO VIATU ZAKARIA HAUSIKI NA MIZIGO WALA HATA STENDI HAENDI...UNA LAKO JAMBO M2 LAKI 8 Z HAWEZ ZULUMU HIYO KWAKE NI PESA YA VOCHA SEMA ULIPAKIA MIRUNGI UKIWA UMECHANGANYA KWENYE VIATU HATA POLISI HAUKWENDA WASINGEKUJIBU HIVYO
  11. Jeff Albert

    Kwanini wanawake wengi wazuri huishia mikononi mwa wanaume wasio wazuri kisura

    Shangaa na wewe Facebook ishakuwa kama Jalala
  12. Jeff Albert

    Clouds Fm acheni kuvulunda nyimbo za watu

    Unaongea Usilolijua unajuaje kama hawajaelewana na Sauti Sol ili wafanye hivyo
  13. Jeff Albert

    TECNO C8 INAUZWA

    Nina Simu Tecno C8 nauza kam upo serious ni PM namba yako ntakupigia bei Tsh 230000/= SIMU IPO katka hali nzuri
  14. Jeff Albert

    Tecno C8 inauzwa

    Nina SIMU Tecno C8 Ipo katka hali nzuri naiuza Tshs 230000 kama upo serious ni PM namba yako ntakupigia
  15. Jeff Albert

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza kazi kama hii

    Ni PM namba yako nkupigie
  16. Jeff Albert

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza kazi kama hii

    kwenye karatasi A4
  17. Jeff Albert

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza kazi kama hii

    Nitumie namba nkupigie
  18. Jeff Albert

    Natafuta mtaalam wa kutengeneza kazi kama hii

    Kama yupo anipm namba yake KAZI za kufanya ni nyingi
Back
Top Bottom