Kabila la wabembe wa Kongo wanaume utaumia Bomba Kwa ajili ya kuimarisha mfumo wa uzazi wa kiume. Na Kuna dawa utumia pia wanasema uondoa tatizo mgongo ama kiuno kuuma na wasifika kwenye tendo.
Nashangaa wasomi uchwala wafia dini. Hivi kuna dini ambayo haimini mizimu, nini maana holly Gost ama roho mtakatifu.? Na je hao mitume mnaoaminishwa wapo hai ama walikufa
Kwa upande wa misikiti ni swalah tu ya asubuhi mchana na njion kwa muda wote wanaotumia haizidi hata dakika 15 kwa siku nzima. Wakatholiku ni kengere ya asubuhi mchana na jion . Lakini Kuna wale walokole ukweli wanakera
Siku hizi baadhi ya makanisa kama vilabu vya pombe za kyenyeji
Wife wangu ana hilo tatizo mwaka jana tumemkosa mtoto hivi hivi wandai pressure ilikuwa juu wakamwandikia sindano na vidonge kwa ajili ya kushusha pressure mwisho wa siku mtoto akawa achezi tena tumboni kwenda parestina hospital tukaambiwa mtoto alishafariki siku tatu zilizopita.
Nimewahi pata hilo tatizo na kiuno kilikuwa kimekaza kiasi kwamba hata kufunga Kama za viatu nikuwa siwezi. Nilitumia tiba tu ya kimasikini.
Nilianza kutandika blanket chini ya sakafu na kulala week ya Kwanza niliumia sana mbavu na maumvi yaliendelea kila siku nilihakikisha napiga push up 10...
Naona America ameanza kuchokonolewa watu wameanza kuona mweupe. Juzi walipiga baloon wakidai ya kichina na leo wametungua kitu hawajuhi ni nini wanasema tu kina umbo kama gari ndogo na kilikuwa umbali feet 40000.
Kama Ni hivyo hata Yesu ni Ibilisi maana alikatishwa akiwa bado anaendelea na kazi. Ila kama Yesu yupo mbinguni basi atakuwa na msaidizi wake Magufuli.
Wewe utakuwa FPR maana mkaliwa vibaya mpaka baba yenu mnywa damu za watu juzi nimeona akishuka kwa ndege yake bujumbura anapepesuka sijuhi alikuwa ajapata drip ya walizomchomoa Ntwari Williams.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.